Friji, kabati na sofa

Friji, kabati na sofa

Duu, nimechelewa kuliona hili tangazo. Vipi wameshamaliza? Nataka friji.
 
Mwenye godoro wakuu,anichek pm,ndo kwanza nimepata room,nalalia jamvi
 
Mkuu hilo friji nalihitaji iyo namba umeweka ni mtu mwingine tuwasiliane pliz
Sorry nimetengeneza nyingine namba chukua hapo juu airtel wameniambia shida so piga no hiyo au pm nimekutumia nyingine
 
Back
Top Bottom