'Friends of Regia' kukutana DSM Kumuenzi Regia (27 Jan 2012)

Jul 14, 2008
1,820
1,031

Baadhi ya Wana JF waliokutana katika Ibada ya Kumwombea Marehemu Mh. Regia Mtema Kanisa katoliki Segerea. Wana JF hawa wanapendekeza kuwa ipangwe siku maalumu hivi karibuni ambayo wana JF na Wadau mbalimbali watakutana British Council na kujadili yale yote aliyosimamia Regia na nini cha kuiga toka kwake na kufanya ikiwa ni njia mojawapo ya JF kumuenzi marehemu Mh. Regia Mtema. Tunapendekeza kuwa tukutane British Council siku ya Ijumaa Tarehe 27-01-2012 kuanzia saa 11jioni hadi saa 2 Usiku. Vinywaji na light foods vitakuwepo.

Pia tutafanya maarifa kuwepo na Skype Conferencing ili waliopo nje ya Nchi watakaopenda kushiriki wafanye hivyo. Kwa kila anayeweza kuchangia kufanikisha Mkutano huu anaombwa awasiliane na Maxence.

Kushiriki kwa Skype: Add the following ID: jamiiforums

Updates:

Waliothibitisha kushiriki kwa kuhudhuria British Council ni:

1. Sanctus Mtsimbe
2. Maxence Melo
3. Josephine Mshumbusi
4. The Finest
5. Jason Bourne
6. Feis Buku
7. MwanajamiiOne
8. Mani
9. Pasco
10. JF Marketer
11. Twinky
12. El toro
13. LD
14. MwaJ
15. Petu Hapa
16. Marhaba
17. Gerrard
18. Jiwe la Ukara
19. Usininukuu
20. Mchaga 25
21. Mkono
22. Froida
23. Mabagala

Waliothibitisha kushiriki kwa nja ya Skype Video/Voice Conference ni:

1. Nyani Ngabu - skype
2. AfroDenzi - Skype
3. Mrembo by Nature - Skype
4. Pretty - Skype
5. Lizzy - Skype
6. Duduwasha - Skype
7. StraaKasyembe - Skype
8. Mbimbinho - Skype
9. Clemy - Skype
10. Ritz - Skype
11. Barubaru - Skype
12. Mkatofa - Skype
13. Smilling Saint - Skype
14. Tiba - Sype
15. Zion Daughter - Skype
16. Gango2 - Skype
17. Yo Yo - Skype
18. Mbimbinho - Skype
19. Mwanakijiji - Skype
20. Peter Rabachi - Skype
 
Inauma sana kwa kweli. Marehemu alikuwa rafiki yangu na kifo chake kimenigusa sana.

We shared a lot of laughter together. I'm trying my level best to keep my spirits up by cracking jokes here and there. Damn, I'll miss her tremendously.
 
Asante Sanctus, mimi nilidhani kwa vile hajazikwa, jf tunajadiliana tushiriki vipi?. Kumbe tunapanga kumuenzi! kumzika jee?.
 
Inauma sana kwa kweli. Marehemu alikuwa rafiki yangu na kifo chake kimenigusa sana.

We shared a lot of laughter together. I'm trying my level best to keep my spirits up by cracking jokes here and there. Damn, I'll miss her tremendously.


sisi ambao tunamjua marehemu hapa jamvini imetuuma sana kwa kweli..
kwa nyie ambao mlikuwa marafiki wa karibu.. I cannot imagine what your going through right now..

you know is nothing much we can do now..
Tukumbuke mazuri yote aliyotuachia.. To be compliantly honest ni mengi sana aliyotuachia..
Special Pole to you NN....
 
Asante Sanctus, mimi nilidhani kwa vile hajazikwa, jf tunajadiliana tushiriki vipi?. Kumbe tunapanga kumuenzi! kumzika jee?.

Mkuu Pasco, bila ya shaka kuna Thread zinazohusiana na hilo. Kuna Wana JF wengi tu walienda Tabata, leo nimewaona wengi pia Msibani, Karimjee kesho watakuwepo na Ifakara pia. rambirambi wengi wanaendelea kutoa, picha za msiba pia umeziona.

Ni namna gani tushiriki zaidi? Na kuna ubaya gani kuzungumzia mipango ya Kumuenzi?
 
Back
Top Bottom