'Friends of Regia' kukutana DSM Kumuenzi Regia (27 Jan 2012)

Vipi kuhusu usalama wa ID zetu pale British council? Tusije angukia mikononi mwao then Jf ikawa na fikra za kidumu chama. I ll attend via skype.

Kamanda ukija huna haja ya kutaja ID yako, labda upende kama sisi wengine tulivyofanya.

Njoo tu na jina lako la ukweli na hakuna mtu atajua ID yako ya JF.

Mbona Arusha wanafahamiana? Na MMU je? Hata baadhi ya members tunafahamiana pia.
 
Swali. . .
Watakaohudhuria mkutano watajitambulisha kwa majina yao haswa au ID za JF?
Muhimu sana, tupate ufafanuzi!!! Vinginevyo mimi nitajitambulisha kama Ritz au Malaria Sugu
 
Rejao hajachangia Kitu humu na nilimuona online oi sijui kahofia nini! ningependa ili wahudhuriaji wawe wengi ndani watu wasiingie na Camera wala simu za Camera mwendo uwe Simu za Vitochi tu Unaweza ukakutana na Makamanda mwishoni ukasikia tu User flan wa id ile hajaonekana tokea siku ile...

Au pengine tuje na id zingine clean! ya skype imekaa fresh lakini unakuwa huru flan
 
Mkuu hakuna haja ya kuhofu, sisi hatutakuwa wa kwanza kukutana.

Ngoja PakaJimmy wa A-Town aje kutupa uzoefu.
 
Back
Top Bottom