Friends of E. Lowassa

Friends of E. Lowassa

Lowassa atuambie zile nyumba 42 alizokuwa anamiliki wakati akifanya sherehe yake ya kuzaliwa akiwa na miaka 42 alizipataje ? Tena maeneo nyeti kama Oysterbay, Mikocheni na Masaki ? Baada ya kujua hilo ntakuwa FRIENDS OF LOWASSA

Wewe ndugu ni mgeni Tanzania? Akiwa Waziri mdogo katika ofisi ya Waziri Mkuu Malecela, alipewa rushwa ya Malecela, ilikuwa kitu kidogo baada ya Malecela kisaini Tanzania kutumia magari ya Kijapani tu. Pesa za hongo zililetwa Malecela hayo, Lowassa akaona kwakuwa Wajapani washaenda zao akaona hazina mwenyewe, akawekeza nchi nzima. Ila baadae alimrudishia Malecela kidogo baada ya uwekezaji kumlipa.
 
Fisadi Lowassa na Urais kwa tiketi ya CCM. Yaani hadi raha, Fisadi anayetaka kupeperusha bendera ya Chama chake!!
Kweli Fisadi Lowassa ndiye 'dume la mbegu' la wanaCCM wote 2015.

Je Zanzibar ambamo Amani Karume amemporakila mtu kiwanja au nyumba kwa lazima ikiwemo kuuza majengo ya serSerikali mfano ofisi ya Registrar of Companies kwa Ali Bawardi, na kumiliki kampuni ya Usajili wa Meli zinazofanya biashara ya Usafiri wa Madawa ya Kulevya Dunia nzima zikiwemo zile zinazobeba mafuta gharamu ya Iran. Bila kughusia marafiki zake waingizaji madawa kwa kushusha baharini meli kubwa toka Pakistan zikipita mbele ya Zanzibar, kuanzisha na kulinda kundi la Uamsho ili wamfanye Mfalme wa Zanzibar kinguvu. Je wewe uliwahi kumkosoa?
 
Poleni sana wenye fikra changa. Historia inatuonesha kuwa lowasa ametokea familia yenye uchumi imara. Halafu haka katabia cha watu kuongea uongea kanakera sana. Hivi aliyewaambia kuwa tajiri umepoteza sifa za kuwa kiongozi ni nani? Kama ni mwizi mbona hashitakiwi? Ni mahakama pekee ndiyo itatuambia kama fisadi au siyo ila nje ya hapo ni kiongozi makini sana.
 
we kolokoloni mahakama za tz hazina ubavu dhd ya mafisadi.at somehw lowasa kaonewa ni wkt wake kuwachenchia ccm.
 
Jambo kubwa linalompa Lowasa Marafiki wengi na kungwa mkono pamoja na umaarufu wa kisiasa anaopata sasa na kuzidi pia kuumiza vichwa vya wanasiasa wengi ikiwamo wa chama chake CCM,ni technique ndogo tu aliiyoitumia. .

kuna msemo unasema " ili kushinda vita ,lazima umjue adui yako vyema"
Lowasa kaangalia ni yapi hasa matatizo ya watanzania walio wengi.

1.Watanzania wamekosa viongozi wanokaa karibu nao na kuongea kuhusu matatizo yao moja kwa moja.
2.Na pia ni jinsi gani CCM vyama vingine imeashindwa kutatua matatizo ya watanzania .

Lowasa kaamua kujiingiza direct na kujifanya ni kati wa wananchi wenye Matatizo bila kubagua wala kujotenga .

Lowasa kawafanya wanasiasa wengeni kuonekana si watendaji bali ni wapenda madaraka na wengine kuonekana wakiwa na ahadi zisizotimizika .

Lowasa kaonekana ni mtu aliyeona shida za wananchi na kuonuesha nia ya kuwasaidia kwa chochote alicho nacho .. hata kama kuna uchu wa madaraka ndani yake ..lakini amejitahidi kutumia mbinu kushinda maadui zake ..

Leo hii wote wanaomsupport Lowassa yaani "Friends of E.Lowasa" ni kwa ajili ya kijiridhisha na madogo aliyoyafanya.

Kunyamaza kwa Lowasa kuna zidi kuwaumiza kichwa wana CCM ..

Wengi tuaasema Lowassa anatumia pessa za ufisadi kujisafisha,lakini ni afadhali yeye aliyeona aibu na kidhubuthu kurudisha pessa hiyo kwa njia ya siasa pamoja na kujisafiaha ,kuliko mlio wengi ambao walikula ,wanakula na wataendelea kula peasa na kodi za wananchi maskini na familia zao pasipo hata kurudisha mrejesho wa 10°/ kwa wananchi na mmebaki kua wachafu.

pessa??....UNAKUNG'UTWA WEWE
 
lowasa mtu licha na ulaji wake lkn anaeleweka anachokifanya hana kujuana juana
 
tumejiuliza saana lowasa ana kasoro nyiangi mnoo ...lakini sidhani kama mtoto wako akiunyea mkono utamkata .. ! if he karepent kwa wananchi na anaonyeaha njia ya kuwa mwema .. basi mwacheni ajisafishe .. na kwa nnashanga mmpepata preasure ya kumuona anautaka uraisiv..kwann anawapanikisha kwa technique ndogo kama kweli mnajiaminii ? isotope
Bora unaujua msamiati wa kutubu, kama kweli katubu arudishe pale alipochukua. Siyo anatuhumiwa kuchukua serikalini analipa makanisani. Arudishe alikozitoa kama katubu kweli. Hata hivyo hajawahi hata mara moja kusema kuwa katubu...
 
Back
Top Bottom