Friday Night Live: Juma Nature azidiwa mapombe, ashindwa kufanya interview

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Mtangazaji wa East Africa alimualika Juma Nature na Tunda Man kwenye show,Juma Nature alitokea akiwa na undershirt na kandambili, mbaya zaidi akiwa 'high' vibaya

Sam Misago akalazimika kuomba radhi watazamaji na kusitisha interview.
 
Huwezi kuutoa uswahili ndani ya mswahili. Mie nakufagilia hivyo hivyo lakini.
Bhange oyeeee.
 
Mbona nature yuko fcbk anajibu vizuri msg za watu sidhani kama kalewa mpaka ashindwe kujitambua,
 
Kulikoka huwa analikoka sawia. Sasa kama kaongezea na viroba viwili tu usionee biroba manake vinatuchangia kodi.
Ulishawahi kuona proffesionalism kwenye entertainment sector bongo?
Was it bangi or pombe? This is so unprofessional!
 
mtangazaji wa east Africa alimualika juma nature na tunda man kwenye show

juma nature alitokea akiwa na undershirt na kandambili, mbaya zaidi akiwa 'high' vibaya

sam misago akalazimika kuomba radhi watazamaji na kusitisha interview

Bange bange bange zimesababisha nisihojiweeeeee:)
 
Was it bangi or pombe? This is so unprofessional!

Sam Misago alisema, 'nature anaoneka yuko so high, atakua kuchangamka hawezi, yuko so slow kwa hii show'

nafikiri unaelewa!
 
Namaanisha uswahili ni tabia ya kukosa self control (inaanzia kwenye kufakamia ubwabwa kwenye sherehe na kufanya takeaway kwa wayu). Kama msanii alipaswa ajue ana serious interview. Wastaarabu wanakunywa pombe tilatila ila wanajua wapi pa kulewa na saa ya kazi ni kazi.
kwahiyo waswahili ndo wanakunywa pombe,au unamaanisha nini?
 
Namaanisha uswahili ni tabia ya kukosa self control (inaanzia kwenye kufakamia ubwabwa kwenye sherehe na kufanya takeaway kwa wayu). Kama msanii alipaswa ajue ana serious interview. Wastaarabu wanakunywa pombe tilatila ila wanajua wapi pa kulewa na saa ya kazi ni kazi.
kwahiyo kufakamia ubwabwa ndo kukosa selfcontrol huh?.na kukosa selfcontrol ndo uswahili..ok.

Umetumia kamusi gani au ni tafsiri zako binafsi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom