Freestyle...

Hahahaha!unajua hawa vijana hawajui hata ce enzi zetu tulitisha,alafu mistari lzm iendane na maudhui hahaha!niko kidoa zaidi,wapi papa Rejao mme wangu nampa cha awamu ya pili lol!

Oyaa Canta utatufanya watu tutoroke ofisini tukimbilie cha breakfast home.
 
Last edited by a moderator:
Hawajui sisi huwa tunashuka verse mpaka hata tukiwa kwenye majamboz??
Ngoja nimalizie dia...naona wanataka kutukata stim.

Darling wangu,hawa vijana hawajui namna inavokua na mzuka unakamua huku mamaa nashuka vec,hahaha,ngoja naandaa ya mchana,hiki lzm nikupe na vec za mahazi ya kisauz Rejao wangu.
 
Last edited by a moderator:
My dia Amyner kumbe hukulijua hili!yan pale kwenye korac ndio unachia mauno huku ukiacha mirindimo ya vyombo vitupu lol!

hii shost nimeipenda! Ndo maana watu tunashangaa mbona ndoa zingine zinadumu..kumbe maujanja tu!
 
Last edited by a moderator:
hii shost nimeipenda! Ndo maana watu tunashangaa mbona ndoa zingine zinadumu..kumbe maujanja tu!

kazi ni kwako mamito,watahesabu miaka tu kumbe hawajui cri ya urembo,kalabaho!!hiyo ukimpa Erickb52 lzm akukabizi passiwed za kila mahali lol!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom