Yo yo yo yoo
Nakuja kama naenda
Naenda km nakuja
usishangae sijakuganda
mi sio gamba bali ni Gwanda
Yo yo yo yoo
Nakuja kama naenda
Naenda km nakuja
usishangae sijakuganda
mi sio gamba bali ni Gwanda
Yo yo yo yoo
Nakuja kama naenda
Naenda km nakuja
usishangae sijakuganda
mi sio gamba bali ni Gwanda
Hahahaa kongosho bhanammmmh, mbona hii fake?
Hebu sikia hii
two trii
naanza mi Konii
nakusabahi
hakupa hi
tukafurahi
Heheheee hii mpyaa loluwii uwii uwii yoyo yoyo yoyo yori yori yori kudadadeki piga miguu kama unapenda hii single ukivua ninavaa ukivua ninavaa unavaa huvai? unavua huvui
Yo yo yo yoo
Nakuja kama naenda
Naenda km nakuja
usishangae sijakuganda
mi sio gamba bali ni Gwanda
Umeona eehHehehehe......hapo red imetulia lol
Duh imagine nashusha verse nikiwa usingizini je ukinikuta nshatupia ndufu sangu itakuwaje
Umeona eeh