Freemasonry Wametushika kila kona

Freemasonry Wametushika kila kona

Nani kaweka taarifa Google? Hata hizo habari unazoniagiza zimewekwa na watu kama huyo jamaa aliekuja kijiweni kwetu au hata yeye labda amezipa Google.

Huko Google nilikuta wamesema hivi.
Herufi zipo 26 na namba zipo 10. Kama ifuatavyo.
a=1
b=2
c=3
d=4
e=5
f=6
g=7
h=8
I=9
j=10
k=11
l=12
m=13
n=14
o=15
p=16
q=17
r=18
s=19
t=20
u=21
v=22
w=23
x=24
y=25
z=26
1=27
2=28
3=29
4=30
5=31
6=32
7=33
8=34
9=35
0=36
Kwahiyo ukijumlisha 1+2+3+4+5+6+7+8+9+10+11+12+13+14+15+16+17+18+19+20+21+22+23+24+25+26+27+28+29+30+31+32+33+34+35+36=666.

Jaribu kujumlisha utapata 666. Kwahiyo hata hizo herufi na namba zilibuniwa na Freemason unaposoma au kutumia hizo namba zao na herufi unamuabudu shetani bila wewe kujijua.

Hata sheria zinasema kutokujua sheria sio utetezi wakuvunja sheria na hivyohivyo kutomjua shetani sio utetezi wakumuabudu.

Sasa je taarifa hizi ziliwekwa na nani?

Du unatisha mkuu. If you cant fight them join them!
 
Hahahahaha hivi who said "My people shall perish for lack of knowledge..." Jesus ee?
 
Nani kaweka taarifa Google? Hata hizo habari unazoniagiza zimewekwa na watu kama huyo jamaa aliekuja kijiweni kwetu au hata yeye labda amezipa Google.

Huko Google nilikuta wamesema hivi.
Herufi zipo 26 na namba zipo 10. Kama ifuatavyo.
a=1
b=2
c=3
d=4
e=5
f=6
g=7
h=8
I=9
j=10
k=11
l=12
m=13
n=14
o=15
p=16
q=17
r=18
s=19
t=20
u=21
v=22
w=23
x=24
y=25
z=26
1=27
2=28
3=29
4=30
5=31
6=32
7=33
8=34
9=35
0=36
Kwahiyo ukijumlisha 1+2+3+4+5+6+7+8+9+10+11+12+13+14+15+16+17+18+19+20+21+22+23+24+25+26+27+28+29+30+31+32+33+34+35+36=666.

Jaribu kujumlisha utapata 666. Kwahiyo hata hizo herufi na namba zilibuniwa na Freemason unaposoma au kutumia hizo namba zao na herufi unamuabudu shetani bila wewe kujijua.

Hata sheria zinasema kutokujua sheria sio utetezi wakuvunja sheria na hivyohivyo kutomjua shetani sio utetezi wakumuabudu.

Sasa je taarifa hizi ziliwekwa na nani?

100% accurate
 
Biblia inasema hakuna alie hai ambae ataacha kuitumia namba hiyo ya mpinga kristo, lakini mungu anawajua walio wake.
 
Majini makabila yao ni 666...hata walipoanzisha bar-coded reader ilikua kwa makampuni yote yanayomilikiwa na free mason lazima katika bar coded reader ya productz zao utakuta nambari 6-6-6 japo kua hazitaongozana lakini lazima ukute 6 tatu...Hata kofia ya kiongozi wa Katolic imetengenezwa katika muundo wa kupata Muingiliano wa pendeza ya Israil ambayo ndani yake unapat corner sita 666...kwa sababu katholic charch ni kanisa linaloongozwa na freemason...Muniwie radhi wakatolic ila huu ukweli ndo namna ulivyo.....http://littleguyintheeye.files.wordpress.com/2010/01/pope-hex-hat.jpg
https://www.google.co.tz/search?q=6...ot.com%2F2014%2F03%2Fpope-post-8.html;373;288

Wakikung'oa kucha Mimi sipo. Ngoja waje wakatoliki wakujibu.
 
Kwaio itakua inawakilisha kashetani kadogo dogo hivi, au mtoto wa shetani?

hahahaaaa Mimi sijui. Ila wanasema ikitokea siku umeamka 3:33 usiku waandikie ndugu zako usia wa Mali zako.
 
Jamaa aliongea Upuuuuuuuzi mtupu. Only fools will fall for that
 
Ni kweli kwani mfumo wa saa ulipotoshwo na watu wa imani ya mungu jua yani wanao abudu jua kama mungu na ndio hao free mason wenyewe siku ilikuwa ina anza jua linapo tua na ilikuwa saa 12 jioni na saa 12 asubui system ya sekunda 60 na dakika 60 imeletwa na viongozi wa dunia ambao walitaka kueneza maabudu ya mungu jua duniani MUNGU hakupanga dakika wala sekunde ni ujuzi na utaratibu ulio wekwa na watu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ni upumba.vu wa hali ya juu...Hapa Tanzania na East Africa tunatumia mifumo miwili ya majira...Ule wa kiingereza na kiswahili....Saa na majira yake yapo kwa Kingereza na Tunasoma kwa kiswahili...

Hawa Freemason nafikiri watakuwa wanajuta kufahamika Tanzania.....

Anyway fanya uchunguzi wako uangalie ni watu wa imani/dhehebu gani hupendelea sana kijadili haya mambo....Ukimaliza hapo angalia hali zao za kimaisha...?? Kuna kitu utajifunza kikubwa...

Kwa mtu aliyefika darasa la saba na kusoma majira ya saa kwa akili ya kawaida hawezi fikiria upuuzi wa namna hii...

Kuna watu wametuloga Watanzania..
Sawa kabisa mkuu haya ni mambo ya kufikirika tu hakuna uhalisi ndiyo maana yanajadiliwa kijueni ,watanzania tuache blabla tufanye kazi haya mawazo hayatakuwepo mtu yeyote akiwa na pesa watu mnaanza kusema freemasoni huyu
 
mh! hapa nitarudi kujifunza, ni mada mzuri

Jifunze hii.
Degree kubwa ya freemason ni 33
Yesu alikufa na miaka 33
Mfalme Daudi alitawala miaka 33
Uti wa mgongo wa binadam una vifundo 33
Temple ya Nabii ya yerusalem ipo mile 33 kutoka baharini
Jua ujinzungusha core yake kila baada ya siku 33
 
Jifunze hii.
Degree kubwa ya freemason ni 33
Yesu alikufa na miaka 33
Mfalme Daudi alitawala miaka 33
Uti wa mgongo wa binadam una vifundo 33
Temple ya Nabii ya yerusalem ipo mile 33 kutoka baharini
Jua ujinzungusha core yake kila baada ya siku 33

yesu alifanya miujiza 33
washington dc ina nguzo 33
nguzo moja ni meter 33
ilijengwa 1733
 
kila kitu?

nimembiwa au imeandikwa?

umetumia kipimo gani kujua mi simwelewa?

huwezi kuwa mwalimu


hujui hata nipo vipi au nalenga picha ipi?

unawajua FREEMASONS?

Unajua dunia upo kufanya nini?

NASIKITIKA SANA KWA UPEO WAKO

Division 5 mkubwa wewe!!!!Afu we si umeingia humu June 5 wewe!!Sio kosa lako ukiwa mzoefu utabadilika.
 
Tafadhali kama una msimamo mkali wa dini ishia hapa usiendelee kusoma.

Nilikuwa kijiweni muda mfupi uliopita nacheza mchezo wa Draft. Kaja jamaa mmoja baada ya salamu jamaa mungine akauliza muda ili awahi kuondoka, akajibiwa kwamba ni saa moja na robo.
Sasa shida ikaanza kwa yule mgeni wetu, akatuuliza munawajua Freemasons? Nikajibu nawasikia kwamba ni mtandao wa matajiri wakubwa duniani. Jamaa akanicheka akasema umepotea kaka, hao ni waabudu shetani na wametushika kila kona. Nikambishia nikasema si kweli. Ndipo akaja na somo la saa au mfumo wa kusoma saa.

Akaanza kwa kuuliza sasa ni saa ngapi? nikamjibu saa moja. Akaniuliza hapo kwenye saa yako imeandikwa ngapi? Nikamjibu saba. Akasema emheeee hapahapo ndipo wametushika. Akauliza munajua kwa nini saa moja iandikwe saba? Nikajibu sijui. Akauliza munajua 666 alama ya mpinga kristo? Nikamjibu nasikiaga. Ndo sasa akaanza hesabu zake kama ifuatavyo.

1. Saa moja inaandikwa saba: 7-1= 6
2. Saa mbili inaandikwa nane: 8-2= 6
3. Saa tatu „ Tisa: 9-3= 6
4. Saa nne „ kumi: 10-4=6
5. Saa tano „ 11: 11-5 =6
6. Saa sita „ 12: 12-6= 6
7. Saa saba „ 13: 13-7=6
8. Saa nane „ 14: 14-8=6
9. Saa tisa „ 15: 15-9= 6
10. Saa kumi „ 16: 16-10=6
11. Saa kumi na moja „ 17: 17-11=6
12. Saa kumi na mbili „ 18: 18-12=6
Hapo akauliza mumenisoma? Wote tukajibu ndio mzeee.
Akasema kwa masaa 12 mengine Freemason wamefanya kama ifuatavyo.
1. Saa moja inaandikwa 19: 19-1=18=6+6+6
2. Saa mbili „ 20: 20-2=18=6+6+6
3. Saa tatu „ 21: 21-3=18=6+6+6
4. Saa nne „ 22: 22-4= 18=6+6+6
5. Saa tano. „ 23: 23-5= 18=6+6+6
6. Saa sita „ 24: 24-6= 18= 6+6+6
Hivyo kuanzia saa saba usiku inarudia tena kama hapo juu kabisa kuanzia namba 1-6. Hivyo tukabaki kimyaaa. Akasema ndo maana yeye hatumii mfumo wa 24hrs anatumia 12hrs system.

Sasa niwaulize wanajamvi kuna ukweli wowote hapa? Je nikweli Freemasons walivuruga saa makusudi? Je kuna ubaya kutumia 24hrs system?.

Kama umeenda shule,nakushauri hiyo kitu achana nayo kabisa
 
Are you SDA...???

Unapo copy na Ku-paste jaribu ku-edit angalau...

Umesema umesoma kupitia mtandao eti "mpango huo utaanza 23/03/2013"....
Utaanza au ulianza....???

Umbumbumbu ni kitu kibaya sans..
we soma kama huelewi funga bakuli lako!!
 
Back
Top Bottom