Freemasonry Wametushika kila kona

Freemasonry Wametushika kila kona

Habar za freemason ni zinawashika na kuwavuruga low minded people na wote walio interested kujua coz freemason hutoa taarifa ambazo wao hutaka watu wa nje wajue (hizi huwa ni nzuri tuu kwamba wao ni jamii ya kusaidiana kama zilivo jamii zingine duniani), wanaoingalia freemason from their own religion viewpoint lazima wawe negative juu yao kama tuu ilivo (islamic Vs christianity). Sasa wabaya zaid ni wale wa vijiwen siku hizi. Kwao kila kitu ni freemason, nguo, magari, majengo, mitandao, vyakula..yan kila kituuuuu. Juzi jamaa mmoja kweny daladala anasema jeshi letu, uhamiaji, polisi, magereza na serikali yetu ni free mason ndo mana nembo zao zina mwenge (torch) ambao kifreemason ni sign ya kingdom of light. Mi nkaeka earfon nkawasha mziki.
 
mimi masalia,mi msabato,mi pure SDA,mama hellen g white,umepanic,wasabato wengi,mmelishwa

hoja yako ni ipi?

unawajua freemasons?

Unataka hoja kwa mujibu wa kitu gani...?? Nimekuambia hoja iliyoletwa ni kwa mambumbumbu kama nyie mchangie.....Nilishaeleza...kama unataka maekezo yangu kama hoja ilivyoletwa rudi pg 1 utaona.....

Halafu wacha kujistukia.....

Mbona jibu kuhusu Freemason nimekuambia....Au unataka nini...Nirudie rudie...??
 
Habar za freemason ni zinawashika na kuwavuruga low minded people na wote walio interested kujua coz freemason hutoa taarifa ambazo wao hutaka watu wa nje wajue (hizi huwa ni nzuri tuu kwamba wao ni jamii ya kusaidiana kama zilivo jamii zingine duniani), wanaoingalia freemason from their own religion viewpoint lazima wawe negative juu yao kama tuu ilivo (islamic Vs christianity). Sasa wabaya zaid ni wale wa vijiwen siku hizi. Kwao kila kitu ni freemason, nguo, magari, majengo, mitandao, vyakula..yan kila kituuuuu. Juzi jamaa mmoja kweny daladala anasema jeshi letu, uhamiaji, polisi, magereza na serikali yetu ni free mason ndo mana nembo zao zina mwenge (torch) ambao kifreemason ni sign ya kingdom of light. Mi nkaeka earfon nkawasha mziki.

Mkuu inasikitisha...Hawa ndo kina Thinkyyy
 
Last edited by a moderator:

mda na uhuru wako wameushikilia na ulichosikia ni 100%
 
Mkuu inasikitisha...Hawa ndo kina Thinkyyy

Mkuu yan hata ilo draft ulikuwa unacheza asili yake ni freemason....ule mstari wa katkt (tunaitaga main road) nshawai sikia wanauita road to the light bearer (devil). inasikitisha sana
 
Last edited by a moderator:
Mkuu yan hata ilo draft ulikuwa unacheza asili yake ni freemason....ule mstari wa katkt (tunaitaga main road) nshawai sikia wanauita road to the light bearer (devil). inasikitisha sana

unawajua freemasons??
 
Ukweli ni kwamba huyo jamaa yenu ama ni mjinga au kawaona nyie wajinga! Hizo habari za kwenye vijiwe vya draft uwe unaziacha huko huko, ni za kupotezea wakati tu!

BTW kwa nini usi-google habari za masons ukajua historia yake from credible sources?

Nani kaweka taarifa Google? Hata hizo habari unazoniagiza zimewekwa na watu kama huyo jamaa aliekuja kijiweni kwetu au hata yeye labda amezipa Google.

Huko Google nilikuta wamesema hivi.
Herufi zipo 26 na namba zipo 10. Kama ifuatavyo.
a=1
b=2
c=3
d=4
e=5
f=6
g=7
h=8
I=9
j=10
k=11
l=12
m=13
n=14
o=15
p=16
q=17
r=18
s=19
t=20
u=21
v=22
w=23
x=24
y=25
z=26
1=27
2=28
3=29
4=30
5=31
6=32
7=33
8=34
9=35
0=36
Kwahiyo ukijumlisha 1+2+3+4+5+6+7+8+9+10+11+12+13+14+15+16+17+18+19+20+21+22+23+24+25+26+27+28+29+30+31+32+33+34+35+36=666.

Jaribu kujumlisha utapata 666. Kwahiyo hata hizo herufi na namba zilibuniwa na Freemason unaposoma au kutumia hizo namba zao na herufi unamuabudu shetani bila wewe kujijua.

Hata sheria zinasema kutokujua sheria sio utetezi wakuvunja sheria na hivyohivyo kutomjua shetani sio utetezi wakumuabudu.

Sasa je taarifa hizi ziliwekwa na nani?
 
Unataka usikwazike, saa moja weka 1, saa mbili weka 2, na kadhalika. Weka masaa 12 na sio 24, ikifika jioni itaanza saa 1tena.
 
Mkuu yan hata ilo draft ulikuwa unacheza asili yake ni freemason....ule mstari wa katkt (tunaitaga main road) nshawai sikia wanauita road to the light bearer (devil). inasikitisha sana

Sio draft tu hata mpira ni wa Freemasons.
Ndo maana unawaamuzi 3 (ingawa sasa ni watano ndo maana walikataa sana kuongeza waamuzi wagolini kwakuogopa kuvunja Freemasonry agreements), unachezwa dakika 90, kwa hali fulani zinaongezwa 30, wachezaji 11 kila timu.

Team nyingi zinamilikiwa na Freemason na ukiangalia mpira unawatumikia Freemasonry. Hahahahaaa kazi ipo mkuu.
 
Hizo akili ya kuangalia/kuchunguza vimambo vidogo vidogo na kuvifanya habari za mujini..laiti akili hizohizo zingetumika kwenye nyanja nyingine za kimaendeleo leo hii Tanzania tungekuwa mbali hata tungetengeneza wenyewe ndege za kijeshi mithili ya B52
 
Dhehebu la kisabato limewaharibu wasabato wengi..
 
Back
Top Bottom