Freemasonry Wametushika kila kona

Freemasonry Wametushika kila kona

jamani naomba tujifunze kusoma biblia na kuitafakari kwa kadri ya kusudio la mwandishi, lugha iliyotumika, mazingira ya waandikiwa, tamaduni zao na sababu za kuandikiwa. Ukijua haya yote utajua namba 666 ilimuhusu nani.
vicarius filii dei
 
Tatizo la sisi ni wavivu wakufikiri ndo mana watu wengi wa nchi yetu tunapotea kwakukosa maarifa freemason haina nguvu kias chakulishinda jina la yesu na wote wanaoogopa nakutunga hadithi za freemasons ni watu wasiojitambua au wanajitambua ila hawana ajira wanatafuta fursa

unahoma
 
Tena ya dege kama una amka asubuh unawaza kudanganya mambo juu ya fremasons hadithi zenu zakipumbavu mtawadanganya kina kayumba tu naamini watu wengi tunapotea kwa simulizi za makanjanja tuondolee uvivu wako wakufikiri
 
Tatizo la sisi ni wavivu wakufikiri ndo mana watu wengi wa nchi yetu tunapotea kwakukosa maarifa freemason haina nguvu kias chakulishinda jina la yesu na wote wanaoogopa nakutunga hadithi za freemasons ni watu wasiojitambua au wanajitambua ila hawana ajira wanatafuta fursa

Mkuu unamaanisha maarifa gani. Mbona hata haya maelezo ya jamaa mwenye hii story ni maarifa makubwa sana.
 
Ni upumba.vu wa hali ya juu...Hapa Tanzania na East Africa tunatumia mifumo miwili ya majira...Ule wa kiingereza na kiswahili....Saa na majira yake yapo kwa Kingereza na Tunasoma kwa kiswahili...

Hawa Freemason nafikiri watakuwa wanajuta kufahamika Tanzania.....

Anyway fanya uchunguzi wako uangalie ni watu wa imani/dhehebu gani hupendelea sana kijadili haya mambo....Ukimaliza hapo angalia hali zao za kimaisha...?? Kuna kitu utajifunza kikubwa...

Kwa mtu aliyefika darasa la saba na kusoma majira ya saa kwa akili ya kawaida hawezi fikiria upuuzi wa namna hii...

Kuna watu wametuloga Watanzania..
 
Hamna kurogwa kakangu. hivyo ndivyo mambo yalivyo kwa sasa. Pili, hatuwezi kuyageuza mwanangu kwamaana mwanga haupo nasi.
 
Back
Top Bottom