Tafadhali kama una msimamo mkali wa dini ishia hapa usiendelee kusoma. Nilikuwa kijiweni muda mfupi uliopita nacheza mchezo wa Draft. Kaja jamaa mmoja baada ya salamu jamaa mungine akauliza muda ili awahi kuondoka, akajibiwa kwamba ni saa moja na robo. Sasa shida ikaanza kwa yule mgeni wetu, akatuuliza munawajua Freemasons? Nikajibu nawasikia kwamba ni mtandao wa matajiri wakubwa duniani. Jamaa akanicheka akasema umepotea kaka, hao ni waabudu shetani na wametushika kila kona. Nikambishia nikasema si kweli. Ndipo akaja na somo la saa au mfumo wa kusoma saa. Akaanza kwa kuuliza sasa ni saa ngapi? nikamjibu saa moja. Akaniuliza hapo kwenye saa yako imeandikwa ngapi? Nikamjibu saba. Akasema emheeee hapahapo ndipo wametushika. Akauliza munajua kwa nini saa moja iandikwe saba? Nikajibu sijui. Akauliza munajua 666 alama ya mpinga kristo? Nikamjibu nasikiaga. Ndo sasa akaanza hesabu szake kama ifuatavyo. 1. Saa moja inaandikwa saba: 7-1= 6 2. Saa mbili inaandikwa nane: 8-2= 6 3Usijichanganye sana. 666 ni alama ya mpinga Kristo. 7io ya 3reemason. Ingbbandikwa usoni na mkononi. Wanaoongozwa oa Roho Wa Mungu tu ndiyo wataikwepa. Okoka?'
Nani kaweka taarifa Google? Hata hizo habari unazoniagiza zimewekwa na watu kama huyo jamaa aliekuja kijiweni kwetu au hata yeye labda amezipa Google.
Huko Google nilikuta wamesema hivi.
Herufi zipo 26 na namba zipo 10. Kama ifuatavyo.
a=1
b=2
c=3
d=4
e=5
f=6
g=7
h=8
I=9
j=10
k=11
l=12
m=13
n=14
o=15
p=16
q=17
r=18
s=19
t=20
u=21
v=22
w=23
x=24
y=25
z=26
1=27
2=28
3=29
4=30
5=31
6=32
7=33
8=34
9=35
0=36
Kwahiyo ukijumlisha 1+2+3+4+5+6+7+8+9+10+11+12+13+14+15+16+17+18+19+20+21+22+23+24+25+26+27+28+29+30+31+32+33+34+35+36=666.
Jaribu kujumlisha utapata 666. Kwahiyo hata hizo herufi na namba zilibuniwa na Freemason unaposoma au kutumia hizo namba zao na herufi unamuabudu shetani bila wewe kujijua.
Hata sheria zinasema kutokujua sheria sio utetezi wakuvunja sheria na hivyohivyo kutomjua shetani sio utetezi wakumuabudu.
Sasa je taarifa hizi ziliwekwa na nani?
Sio draft tu hata mpira ni wa Freemasons.
Ndo maana unawaamuzi 3 (ingawa sasa ni watano ndo maana walikataa sana kuongeza waamuzi wagolini kwakuogopa kuvunja Freemasonry agreements), unachezwa dakika 90, kwa hali fulani zinaongezwa 30, wachezaji 11 kila timu.
Team nyingi zinamilikiwa na Freemason na ukiangalia mpira unawatumikia Freemasonry. Hahahahaaa kazi ipo mkuu.
Tafadhali kama una msimamo mkali wa dini ishia hapa usiendelee kusoma. Nilikuwa kijiweni muda mfupi uliopita nacheza mchezo wa Draft. Kaja jamaa mmoja baada ya salamu jamaa mungine akauliza muda ili awahi kuondoka, akajibiwa kwamba ni saa moja na robo. Sasa shida ikaanza kwa yule mgeni wetu, akatuuliza munawajua Freemasons? Nikajibu nawasikia kwamba ni mtandao wa matajiri wakubwa duniani. Jamaa akanicheka akasema umepotea kaka, hao ni waabudu shetani na wametushika kila kona. Nikambishia nikasema si kweli. Ndipo akaja na somo la saa au mfumo wa kusoma saa. Akaanza kwa kuuliza sasa ni saa ngapi? nikamjibu saa moja. Akaniuliza hapo kwenye saa yako imeandikwa ngapi? Nikamjibu saba. Akasema emheeee hapahapo ndipo wametushika. Akauliza munajua kwa nini saa moja iandikwe saba? Nikajibu sijui. Akauliza munajua 666 alama ya mpinga kristo? Nikamjibu nasikiaga. Ndo sasa akaanza hesabu szake kama ifuatavyo. 1. Saa moja inaandikwa saba: 7-1= 6 2. Saa mbili inaandikwa nane: 8-2= 6 3Usijichanganye sana. 666 ni alama ya mpinga Kristo. 7io ya 3reemason. Ingbbandikwa usoni na mkononi. Wanaoongozwa oa Roho Wa Mungu tu ndiyo wataikwepa. Okoka?'
Sijakusoma mkuu. Naona unaushauri mzuri lakini umeandika kwa papara sana.
Kwanini hukujulimshia na special characters kama "," "!" "?". Ukaamua kuchukua namba na herufi tu wakati zote zinatumika sambamba?
Hivi wakubwa naombeni kuuliza kukosa maarifa mfano wake si nd'o kama wa huyu jamaa?!
Hii kali ya mwaka, hivi unajua football ilianza na waamuzi wangapi?
Mkuu ni bora ukatujulisha. Sio zambi ukituelimisha. Ukimwacha mjinga aendelee na ujinga wake wewe mwerevu unakuwa mjinga zaidi ya mjinga.
Swali langu linamaanisha kwanini 6 (666) na isiwe ni no nyingine kama 7,9 n.k. Yaani ilikuaje ikawa hyo namba mnayoisema??
Anamaanisha jinsi tunavyoandika muda wa saa na jinsi tunavyousoma huwa tunaabudu namba 6. Mfano:saa ikionyesha 7 huma ni saa 1,8=2,9=3,10=4,11=5 nk. Hizo namba ukitoa jibu lazima lije 6,mfano:7-1=6,8-2=6,9-3=6 nk. Kwa hiyo siku zote tunazunguka kwenye ulimwengu wa 666!Sijakusoma mkuu. Naona unaushauri mzuri lakini umeandika kwa papara sana.
Unapoingia Net Unaanza Na WWW HIYO NI 666
Kilakitu Unachotumia Ni Cha Kwao Kuanzia
Chakula
Mitandao Ya Simu
International Networking Ya Intarnet
Vipodozi Vyote Unavyovifahamu
Muvi Zote Za Hollwood
Mabenk Yote Ya Kwao
KWA HIYO HUWEZI KUWAKWEPA POPOTE ULIPO WAPO
Jamani naomba tujifunze kusoma Biblia na kuitafakari kwa kadri ya kusudio la Mwandishi, Lugha iliyotumika, Mazingira ya Waandikiwa, Tamaduni zao na sababu za kuandikiwa. Ukijua haya yote utajua namba 666 ilimuhusu nani.