Freemasonry Wametushika kila kona

Freemasonry Wametushika kila kona

Hoja kuhusu nini...??? Kuna hoja gani kwa mbumbumbu aliyeshindwa hata kujua kuwa tunatumia Mifumo miwili ya majira kusoma nyakati...??

Hata mtoto wa darasa la saba anaelewa hili....Kama unataka kuona hoja niliyotoa rudi page 1 utanisoma....

Ila kama akili yako imeshikwa na mafundisho ya mama White hutaelewa....

Siwezi kuwaacha Wasabato maana haya mambo wanayapenda sana....

Ukitaka kujua Wasabato hawako sawa kasome Hostoria yenu uanzie kina Miller na wenzake, Soma Millerites movement, soma kina Josrph Bates na wenzake njoo malizia na Mama White ndo utaona uozo na maono ya kuzimu ya Wasabato....

unajielewa??

freemasons na wasabato ni two different things

mada za usabato zimetokea wapi?

nani kakuambia mi msabato?

mada inasemaje?

uasama wako na dini zingine usinilete mimi

kama huwajui ka kimya
 
Kama unawafahamu na unajua Great Disappointment ilivyotea na jinsi wakina Miller na Bates walivyoua mamilioni ya Wasabato basi utagundua kuwa Wasabato wengi bado hawajakoma...

Bado mnaendeleza ule ujinga wa Kina Miller, Bates na Mama White wa kutabiri maono ya kuzimu.....

Huyu mama alijifanya nabii wa wasabato akatabiri mwisho wa dunia ambao nao haukutimiza unabii wake. lakini bado anaaminika ni nabii wa wasabato!! nabii anayetabiri yasiotimia bado ni nabii!!
 
Sasa kuwa na msimamo mkali wa dini inakuwaje ni tatizo kwenye kusoma huu uzi? Pili suala la kuandika saba na kusoma moja ni wewe tu unavyoseti saa yako. Mbona mimi yangu inaonesha 1 ikiwa saa moja, 2 kwa saa 2 na kuendelea. Halafu hizo namba unaweza kuzipa tafsiri yeyote unayopenda.
 
Majini makabila yao ni 666...hata walipoanzisha bar-coded reader ilikua kwa makampuni yote yanayomilikiwa na free mason lazima katika bar coded reader ya productz zao utakuta nambari 6-6-6 japo kua hazitaongozana lakini lazima ukute 6 tatu...Hata kofia ya kiongozi wa Katolic imetengenezwa katika muundo wa kupata Muingiliano wa pendeza ya Israil ambayo ndani yake unapat corner sita 666...kwa sababu katholic charch ni kanisa linaloongozwa na freemason...Muniwie radhi wakatolic ila huu ukweli ndo namna ulivyo.....http://littleguyintheeye.files.wordpress.com/2010/01/pope-hex-hat.jpg
https://www.google.co.tz/search?q=6...ot.com%2F2014%2F03%2Fpope-post-8.html;373;288

kanisa katoliki ulilikuta na waliomo watakuwa watakatifu na waliokuwepo watakatifu na utaliacha!! Hizo quotes zako hazibadili chochote!
 
unajielewa??

freemasons na wasabato ni two different things

mada za usabato zimetokea wapi?

nani kakuambia mi msabato?

mada inasemaje?

uasama wako na dini zingine usinilete mimi?

kama huwajui ka kimya

Wewe naona hujielewi kabisa....Naona ume-panic mapemaaa...

Nimekuambia mada za Freemason hupendwa na Wasabato sana....Sihitaji uniambie wewe ni Msabato ila nikisoma unachoandika ni dhahiri shahiri kabisa wewe ni Masalia...

Angalia unavyojikamata....." Wasabato na Freemason hawahusiani".....Kama wewe si msabato umejuaje hamhusiani....Kwanini umekimbilia kukanusha mapemaa.....Kuwa makini..

Mada imeletwa ili mambumbumbu kama nyie mjadiliane....Ila kwa mtu mwenye uelewa hawezi jadili upuuzi...
 
Huyu mama alijifanya nabii wa wasabato akatabiri mwisho wa dunia ambao nao haukutimiza unabii wake. lakini bado anaaminika ni nabii wa wasabato!! nabii anayetabiri yasiotimia bado ni nabii!!

Akili zao zote zipo kama za mama Hellena White..
 
Najua mkuu ndo namna ambavyo shetani huwapambia watu vitendo vyao viovu wavione kua ni vyema....Mtu kuzuiliwa kuoa/kuolewa ili afikie utakatifu ni jambo lenye mashaka mkuu
 
kwa nini iwe sita,na kwa nini sita hizo ziwe tatu? je? zikiwa nne?
 
Najua mkuu ndo namna ambavyo shetani huwapambia watu vitendo vyao viovu wavione kua ni vyema....Mtu kuzuiliwa kuoa/kuolewa ili afikie utakatifu ni jambo lenye mashaka mkuu

Jifunze ku-quote mtu unayetaka kumjibu...Au na wewe ni wale mazezeta wa Mama Hellena White...??
 
Wewe naona hujielewi kabisa....Naona ume-panic mapemaaa...

Nimekuambia mada za Freemason hupendwa na Wasabato sana....Sihitaji uniambie wewe ni Msabato ila nikisoma unachoandika ni dhahiri shahiri kabisa wewe ni Masalia...

Angalia unavyojikamata....." Wasabato na Freemason hawahusiani".....Kama wewe si msabato umejuaje hamhusiani....Kwanini umekimbilia kukanusha mapemaa.....Kuwa makini..

Mada imeletwa ili mambumbumbu kama nyie mjadiliane....Ila kwa mtu mwenye uelewa hawezi jadili upuuzi...

kwahiyo unatafuta nini kwenye huu uzi??

jibu maswali yangu kwanza hapo juu

usabato umeanza lini??freemasons je??unajuatofauti zao??
 
Ukisema Tuanze Kupinga Kutumia Vitu Vyao Na Kwa System Zao.. It Means Hata Jf Hutakiwi Kugusa, Au Hiyo Device Yenyewe Unayotumia Hutakiwi Kuendelea Kuitumia... Think Big Like (Rakims)
 
Wewe unayejua tujuze...!!!

Vipi wewe ni Masalia...??Any way you are pure SDA....

Ngoja niandae uzi wa historia yenu....Naomba uje tujuzane mawili matatu...

fools talk on personalities not ideas

simpleminds discuss people
 
kwahiyo unatafuta nini kwenye huu uzi??

jibu maswali yangu kwanza hapo juu

usabato umeanza lini??freemasons je??unajuatofauti zao??

Ndio maana nimekumbia ume-panic...

Kasome Millerites movement ndo utajua uozo wa historia yenu....Nimekupa kama hints naona uzuzu umekuelemea...

Unelewa ninapouliza swali " Kwanini Wasabato wanapenda habari za Freemason"?

Mbona mm nipo clear sana....Nimekuambia thread hii imeletwa na mbumbumbu ili mambumbumbu kama nyie mpate kui-support...
 
fools talk on personalities not ideas

simpleminds discuss people

Ukiona mtu anatukana basi ujue hoja zimemshinda....Mara nyingi watu kama nyie huwa mnapigana au kete ya mwisho kabisa ili usionekane umeshindwa ni matusi.....Anyway nikawaida...Nafurahi...

Halafu mimi sijamjadili mtu...Hebu onesha mahali nimemjadili mtu...

Ku-panic kubaya sana....
 
kuishi kwa imani tu inatosha haya mengine hayana faida kwetu
 
Ukisema Tuanze Kupinga Kutumia Vitu Vyao Na Kwa System Zao.. It Means Hata Jf Hutakiwi Kugusa, Au Hiyo Device Yenyewe Unayotumia Hutakiwi Kuendelea Kuitumia... Think Big Like (Rakims)

tumia na kuwa against them japo ipo siku utashindwa kuwaepuka labda kifo au mateso yasiyopimika
 
Ukiona mtu anatukana basi ujue hoja zimemshinda....Mara nyingi watu kama nyie huwa mnapigana au kete ya mwisho kabisa ili usionekane umeshindwa ni matusi.....Anyway nikawaida...Nafurahi...

Halafu mimi sijamjadili mtu...Hebu onesha mahali nimemjadili mtu...

Ku-panic kubaya sana....

mimi masalia,mi msabato,mi pure SDA,mama hellen g white,umepanic,wasabato wengi,mmelishwa

hoja yako ni ipi?

unawajua freemasons?
 
Back
Top Bottom