freemason live clouds fm and clouds tv

yeye cwakisukuma basi Mimi ni FREEMASON waKIHINDI so MAKANJIBAI kazi kwenu utajr wa fasta. . . . .
 
Mod_ebu unganisha hizi thread,maake kila mtu aliefungulia clouds fm/tv anaripoti hili tukio.
 
wamechanganyikiwa wanatafuta umaarufu au waganga wa kienyeji wanatafuta wateja

Well said da Black woman_ila sio kuwapuuza kwa yote,kuna haja ya kuwasikiliza then kuyafanyia kazi maneno wanayoyasema inaweza kuwa ya ukweli ndani yake.
 
Kitendo cha kwenda kujitangaza tuu kinatosha kuamini wao siyo freemason

hapana kaka, siku hizi wanajionyesha2 cyo kes, chamsingi nikujadli wanachokzungumza, jamaa kiukwel hawajui k2, watema povu mwanzo mwisho.
 
Well said da Black woman_ila sio kuwapuuza kwa yote,kuna haja ya kuwasikiliza then kuyafanyia kazi maneno wanayoyasema inaweza kuwa ya ukweli ndani yake.

mmmmmmhhhh sihitaji kuyafanyia kazi maneno yao kwa kweli
 
Hii freemason inatumiwa very loosely bongo, hao freemason wala sio watu wa kuogopa wala ni chama cha kawaida tuu na member wanakua wanaamini kuna higher power but hawajasema ni high power ipi, so kama mtu anafikiria high power ni shetani anakaribishwa pia so ni watu wa imani tofauti, bongo freemason , freemason kilakitu, marekani hizo chapter zake ziko mpaka kwenye kata , kuna dini inayoabudu shetani tuu sio freemason
 
Hakuna cha ajabu na freemason maana wapo toka zamani sema kwa malimbukeni wanaona sifa kuitwa freemason.
 
Back
Top Bottom