Freeman Mbowe nenda mahakamani kuonesha mshikamano na Tundu Lissu

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
57,243
Reaction score
90,303
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
 
Andelee na safari ya kuelekea Chauma. Hakuna haja ya yeye kwenda mahakamani ili aonyeshe mshikamano wa kinaa.
 
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
hawezi hata kujaribu huyo, ana hasira kikoba chake kuingia dhoruba, sasa sio kikoba tena bali ni chama ya demokrasia na maendeleo.
 
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
KWA MATUSI ALIYOKUWA ANAMTUKANA LISSU AENDE KUFANYA NINI ? ACHA ALIYE NA WA KWAO ALIKKUWA ANAMDHARIRISHA BILA KHURUMA AENDE KUFANYA NINI?
 
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
ni muhimu sana kutoa fursa na nafasi kwa watu kufanya mabo yao kwa uhuru.
hakuna umuhimu wowote kwa mbowe kwenda mahakamani kwasababu haisaidii chochote.

alimtembelea korokoroni keko,
akashauri muhalifu ahamishwe gereza na ikawa hivyo na inatosha kabisa.

hata hivyo,
mbowe alipokua gerezani wakati ule, kuna wanachadema wengine walitamani aendelee kusota gerezani ikiwa ni pamoja na mwenyekiti mpya wa chadema ambae nae anasota korokoroni kwa sasa. ni vizuri record ziwekwe sawa :NoGodNo:
 
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
Mbowe siyo sababu ya Lisu kukamatwa. No reform no election ni agenda ya chama siyo ya Mbowe wala Lisu.

Mbowe kwa mazingira yaliyopo siyo mwehu aende pale mahakamani.

Kuna watu wanatamani Mbowe asiishi kabisa, wewe unamtaka aende mahakamani humtakii mema.
 
Kipindi hiki na mapito yake ni muhimu mno kwa Lissu na CHADEMA.

Wakati huu ni rasmi kwa ajili ya kuchuja taka kutoka kwenye maji. Mpaka haya yakiisha, CHADEMA kweli watajulikana na mapandikizi yatajulikana.

Ili kutomtoa Lissu mchezoni (japo ni ngumu) Mbowe abaki kimya hivyo hivyo bila ya kwenda maana mabosi wake CCM wanaweza mtuma kuleta madhara ya kimsimamo kwa Lissu.
 
Freeman Mbowe, Tundu Lissu akiwa ni mwenyekiti aliyerithi uenyekiti kutoka kwako ni jambo la hekima na busara kama bado uko pamoja na CHADEMA kwenda mahakamani kumpa moyo mrithi wako na kutambua ujasiri wake wa kuendeleza kauli mbiu iliyoanza kipindi chako ukiwa mwenyekiti ya "No Reforms No Election" ambayo kwa kiasi kikubwa imehusika yeye kutiwa nguvuni na gerezani mpaka sasa.
Mbowe ni Chaga na sifa ya Chaga unaokua.
 
Mbowe siyo sababu ya Lisu kukamatwa. No reform no election ni agenda ya chama siyo ya Mbowe wala Lisu.

Mbowe kwa mazingira yaliyopo siyo mwehu aende pale mahakamani.

Kuna watu wanatamani Mbowe asiishi kabisa, wewe unamtaka aende mahakamani humtakii mema.
Sijasema Mbowe ndiye sababu ya Lissu kukamatwa, nimesema agenda ya no reform no election baada ya kuchukuliwa serious na Lissu ndiyo sababu ya kukamatwa, hiyo ajaenda ilianza wakati wa Mbowe.
 
Nashauri asiende maana maneno aliyosemwa wakati ule kampeni ni magumu mno na kiongozi wa wasemaji alikuwa Lisu.Hata mimi nisingeenda.Maana hata Lisu akipaliwa na mate watasema ni Mbowe!!.Mwacheni baba wa watu aone na wengine wakitesekea chama
 
Back
Top Bottom