MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
Maswali ya kitotoKwani Magufuli alichaguliwa na nani??Au tuseme alipendekezwa na nani??Wanachama wote mlipendekeza Magufuli au Wachache walimpendekeza Magufuli??Sasa kama wachache walimpendekeza basi waachieni CDM waamue kwa namna yao pia.
Shida kwelikweli