MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
Sifa kubwa awe Mchaga au KaskaziniUsije shangaa mtu mwenyewe ni MASHA...maana kwa kamanda wa anga lolote linawezekana....
Sifa kubwa awe Mchaga au KaskaziniUsije shangaa mtu mwenyewe ni MASHA...maana kwa kamanda wa anga lolote linawezekana....
Kweli tunakiri unatushinda hiyo shule yakufungiwa na fisiNakushinda shule wewe hadi DJ wako Mbowe
Viroba dawayake ni hivyoNdio mkalet magari ya maji yakuwasha baadala yakuwachimbia visima watanzania?
Tupo pamojaWanachadema katibu atajulikana tujitokeze furaisha kwa wingi wenjeee
Mmetiwa upofu kiasi cha kuashindwa hata kufikiri.....wenye akili timamu kama Slaa na Lipumba waling'amua akili finyu ya Mbowe kiasi cha kukaribisha kinyesi chenye harufu kali sebuleni kulikokuwa na manukato hai....hahahahahahahaha
Poleni sana....Huyu Mbowe ni kichwa hasa
He is street smart
Yaani ni Genious...Hamumuwezi
sisi CHADEMA tunampenda...Ajabu ninyi ndio mnawashwa masaaburi
Mwisho wa siku mnaumbuka tena vibaya sanaViroba dawayake ni hivyo
Dawa ya moto ni moto
Si rahisi kumpa sumaye manake bado hajakijua vyema chama.OK TUNAMSUBIRI ILA ASIWE SUMAYE
Hakuna mkuu tunajitahidi kubadhiri tu....lakini maombi na sala zetu ni kwa mwenyekiti atuletee jina lenye sifa na kukipeleka chama mbele....si unajua hata kabla ya mechi kunakuwa na mbwembwe za mashabiki.....take it easy....Megeuka wapiga ramli
Hatuna ukabila wa mikoa huku waulize ccm ndio sera yaoHuyo katibu mkuu anatokea mkoa gani?
Ndio hiyo hiyo inayo to a wanao kutawala wewe mpaka kichaa wako DJKweli tunakiri unatushinda hiyo shule yakufungiwa na fisi
Taa ya treni ni moja lakini mwanga wake ni mkubwa kuweza kuangaza sehemu yoyote.....
Tafsiri
Zitto yupo pekee lakini kishindo cha hoja zake huitetemesha serial I kiasi cha kurudi hata kutengeneza bill/ miswada upya kwa maendeleo ya nchi kwa ujumla
VilazaTupo pamoja
Mkuu nadhani katibu mkuu atakuwa mnyika, mdee, millya, lema au sumaye.Hatuna ukabila wa mikoa huku waulize ccm ndio sera yao
Arusha au kaskaziniHuyo katibu mkuu anatokea mkoa gani?
Nyumbu mara nyingi hawatumii akili.......pia ni wasahaulifu sana.hahahahahhhhha
Hoja ipi imetetemesha serikali?
Ya kula Migebuka?
Hiyo mwisho wasikuMwisho wa siku mnaumbuka tena vibaya sana