Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Hahahahaha

Bado unameza Porojo za Dr Kibwetere

Yule anakula maisha Canada na fedha za kuhongwa....Na ndio maana hampati siri zetu kwa sababu kumbe ndiye alikuwa Informer wenu

This time around.....Hatutawapa Nafasi...JPM anawakamua kule...sisi tunawakamua huku

Tulivowaambia JP ni team Laigwan nadhani hamkuelewa
Unajifariji....eti JP ni timu Laigwani......huyo katibu wenu wa mfukoni hawezi mfikia Dr Slaa hata kwa kufikiri tu
 
hahahahahha......acha weeeeee

Hio ni hoja ya Lissu na sio ya Huyo Ayatolaaaaa....acheni kudandia hoja...ndio maana mnalazimisha kupora hoja ya ESCROW kutoka kwa kafulila....wafu kabisa nyie
We kweli kabwela....zitto ndio alianzisha kisha lissu akaliunga
 
Ina maana huyu Supreme Leader ana jina la Katibu Mkuu tayari mfukoni!!???? WanaSiasa wanatupeleka Watanzania pabaya sana. Nina shemeji yangu mmoja wanagombana na MKE wake kila mara kwa kuwa Jamaa ni Ukawa na mama ni CCM.
 
Siasa ya Tanzania raha. Uzi umeanzishwa na bavicha,ila wachangiaji wengi uv-CCM.
 
Hamna kitu mwaka jana aliahidi kutuletea mgombea urais makini na wala sio kapi toka ccm...kufumba na kufumbua anatuletea lowassa huku sumaye na kingunge wakiwa wazungumzaji wakuu...afanye atakalo chama cha mkwewe.
Kaskazini tu!
 
Mnajaza server Tu bure Na hizi upimbi . Hii Ni chadema siyo ccm
 
Back
Top Bottom