Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

kwani hakuna utaratibu wa nafasi ya aktibu mkuu kucukua fomu na kuomba kuchaguliwa?
au mimi ndio sijui utaratibu wa chama?
au ni utaratibu wa vyama vyote kuwa katibu mkuu anapendekwa na mwenyekiti wa chama?
sijajua utaratibu wa uongozi kwenye vyama vyetu jamani naomba kueleweshwa kwa hili kwa wajuzi wa mambo hayo
 
Sisi tuliokuwa chadema asili tulikuwa tunamuita hivyo.....nyie mliokuja na mwivi wa umeme ndio mnamtusi
Hakun chama kinaitwa chadema Asili na wewe ungelijua mimi ni nani usingesubutu kunita nimekuja wewe umenikuta
 
Kwamba nyie wanachama hamjaona nani wa kuwafaa kuwaongozeni mpaka mtu mmoja ndio aamue kuwaletea mtu makini kulingana na utashi wake, hiyo inaonesha ni kwa namna gani msivyojielewa

Kwani Magufuli alichaguliwa na nani??Au tuseme alipendekezwa na nani??Wanachama wote mlipendekeza Magufuli au Wachache walimpendekeza Magufuli??Sasa kama wachache walimpendekeza basi waachieni CDM waamue kwa namna yao pia.
 
Sultan Mbowe has got no option..... la achague makapi ya ccm.....ile harufu aliyoisema Rais wa mioyo yetu Slaa, kamwe haitoisha

kwani kesho mbali.....uzuri wa Mijitu ya CCM mko so predictable
 
Hakun chama kinaitwa chadema Asili na wewe ungelijua mimi ni nani usingesubutu kunita nimekuja wewe umenikuta
Usilete vitisho....wewe ni binadamu kama mimi tu.....last time u committed a plagiarism offences..... U quoted someone's else article without acknowledge the author......

Wewe ni kilaza tu
 
Sema chama cha wazalendo watangulizao utaifa mbele......na sio ukabila

chama cha WAHA...hahhahaha...chama cha kigoma tu hiki hakuna lolote

Na mbunge mmoja kama ilivyokuwa UDP,TLP na kadhalika

Yaani Hovyo kweli
 
Hotel Mchaga
Mpanga viti Mchaga
Mgawa Viroba Mchaga
Mwenyekiti hadi karani Mchaga

Hehehe CHAGA-DEMA bwana
hahaha
mimi nacheck tu movie
rs_301x250-141211122137-Je3OP.gif
 
Tunamsubiri huyo Katibu Mkuu makini.
Tafadhali usituletee mroho wa madaraka,mnafiki na kigeugeu kama aliyejiuzulu.
Chama kinahitaji mtu makini atakayekijenga chama kuelekea 2020.
Kila la kheyr.
nifah umepotea mkuu
 
Usilete vitisho....wewe ni binadamu kama mimi tu.....last time u committed a plagiarism offences..... U quoted someone's else article without acknowledge the author......

Wewe ni kilaza tu
Article ipi hiyo? Wacha ujinga
 
Back
Top Bottom