Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Mbowe hana budi kumchagua Marcus Albany.....

Huyu anaendana na siasa za matukio za Chadema
 
Yaani akili za maukawa zimeganda mpaka Mbowe ndio awe anafikiri kwa niaba yenu wote...very sad
 
Hata akiwa uozo, sikutegemea angesema naleta katibu uozo! Hata hivyo hii ni safu anaiandaa ya 2035, maana 2020 hawana chao na 2035 kama spidi itaendelea, mtu sahihi atakuwa Majaliwa.

Usijali atakuwa Kinana
 
Hapangiwi wakumchagua soma katiba
Katiba ilimtaka achague baada ya miezi mitatu, yeye akaisigina na kuchagua baada ya zaidi ya miezi mitatu.......

Ni kama vile alivyobadilisha katiba ili aongoze chama milele......huyu hana tofauti na Mugabe, Museveni, Nkurunziza, Kagame, Kabila, Sasunguesso......malkia Elizabeth.
 
MWENYE CHAMA LOWASSA KISHA FIKA

hapa jirani mwenye CCM amewasili yake kwenye msiba na watu kama kumi na zaidi hivi.Duh naona Mzee uenyekiti anataka kuufanya Urais pia
 
Wewe unawaza kwa niaba ya nani??
Kwamba nyie wanachama hamjaona nani wa kuwafaa kuwaongozeni mpaka mtu mmoja ndio aamue kuwaletea mtu makini kulingana na utashi wake, hiyo inaonesha ni kwa namna gani msivyojielewa
 
Hakuna ishu hapo atamteua Anthony komu na Mrema wakapigiwe kura
 
Mnaeleweka sana mbona ugaidi ndio sera zenu au mmesahau kuwavisha vijana wenu miwani na mapanga kuweni makini safari hii ni magufuli sio jk
Hapa kazi tu....
Wakati mwingine mue mnajua ku connect dots vizuri, mliwahi kusema Chadema ni chama cha Kikristo, bado napekua kwenye mafaili yangu nipate magaidi wa karne hi ambao ni Wakristo nione. Usiache pia kunipa msaada please wa kuniletea jina la GAIDI wa Kikristo kama unalo.
 
Back
Top Bottom