MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,097
- 35,475
Kanywe maziwa Viroba sio diliNaona unaweweseka tu hapa
Kanywe maziwa Viroba sio diliNaona unaweweseka tu hapa
Mbowe hana budi kumchagua Marcus Albany.....
Huyu anaendana na siasa za matukio za Chadema
Mbona Dodoma Mliamuliwa?Kwamba nyie wanachama hamjaona nani wa kuwafaa kuwaongozeni mpaka mtu mmoja ndio aamue kuwaletea mtu makini kulingana na utashi wake, hiyo inaonesha ni kwa namna gani msivyojielewa
Naona megeuka wapiga ramliJibu ulicho ulizwa
Kubashirimmebaki kubashiri tu kudadeki,....hahahahaha
hebu utaje huo uhalisia wako hapaKubashiri
Au kutoa uhalisia!
Ndio umetumwa kuja kuaribu thread?
Kwakuwa ni CHAGA-DEMAhebu utaje huo uhalisia wako hapa
Mtanawa sana lakini kula hamli mtabaki kipiga ramli tuKanywe maziwa Viroba sio dili
Kuna cha thread hapo uchuro tuNdio umetumwa kuja kuaribu thread?
Umeanza ndoto zile za janaKwakuwa ni CHAGA-DEMA
Lazima uchagani kwanza
Sultan Mbowe has got no option..... la achague makapi ya ccm.....ile harufu aliyoisema Rais wa mioyo yetu Slaa, kamwe haitoishammebaki kubashiri tu kudadeki,....hahahahaha
sawa tusubirie kesho basi.....Vipi chama cha waha kipo salama?Kwakuwa ni CHAGA-DEMA
Lazima uchagani kwanza
Kweli umepigwa upofu hata unachokijibu ujuiKuna cha thread hapo uchuro tu
HahahaMtanawa sana lakini kula hamli mtabaki kipiga ramli tu
Sema chama cha wazalendo watangulizao utaifa mbele......na sio ukabilasawa tusubirie kesho basi.....Vipi chama cha waha kipo salama?
Slaa ni rais wa Lumumba au?Sultan Mbowe has got no option..... la achague makapi ya ccm.....ile harufu aliyoisema Rais wa mioyo yetu Slaa, kamwe haitoisha
Sema HUJUI{Ujui}[emoji15] [emoji15]Kweli umepigwa upofu hata unachokijibu ujui
Siyo kosa lako umeshazoea mizogaHahaha
Kula ale nani !!
Viroba navyo kumbe sifa