Boniphace Bembele Ng'wita
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 3,594
- 2,030
tuachane na aibu mkuu, ila limbel hawezi kuwa katib mkuu wa cdm vinginevyo cdm hasa mbowe atakuwa amevulugwa, inamaana kutoka kooote kule wanaibuka na kapi la ccm?KAma ni kweli, NI AIBU ILIYOPITILIZA MTU AMBAYE UANACHAMA WAKE HAUJAFIKA HATA MWAKA KUPEWA UKATIBU MKUU, tena akitokea sisiemu!
Ni tusi kwa wote wale wa zamani na walikuwa na sifa za kuwa katibu mkuu. Pia ni TUSI KA WALE WANACHADEMA WA KWELI.
This will be a new level below of an arleady under par performance by Mzee wa kubadili gia, Mbowe!