Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,242
- 34,917
- Thread starter
- #301
Naona unapigia chapua ccm Bunachekesha. makapi kutoka ccm sisi ndio tunaita hazina. basi tumekwisha. hatuna upinzani nchi hii. naona afadhali ya ACT sasa.
Naona unapigia chapua ccm Bunachekesha. makapi kutoka ccm sisi ndio tunaita hazina. basi tumekwisha. hatuna upinzani nchi hii. naona afadhali ya ACT sasa.
Umeandika niniCarol Carol' s
Mpwa unauwa.Tunamsubiri huyo Katibu Mkuu makini.
Tafadhali usituletee mroho wa madaraka,mnafiki na kigeugeu kama aliyejiuzulu.
Chama kinahitaji mtu makini atakayekijenga chama kuelekea 2020.
Kila la kheyr.
Chadema ni Chama Makini sanaMpwa unauwa.
Mulize DelilaDr Slaa yupo pande zipi
Chama cha majipu ndicho kiwanda cha kuzalisha mafisadi na wazembe wote nchi hii.Chama chenyewe kishapoteza mwelekeo na kinaelekea kufa lakini bado mnaleta habari zao humu kujaza Ukumbi, mmekombatia mafisadi na mnazidi Pokea Wezi waliotumbuliwa na MagufuliMagufuli.
Huko ulipk mwenye maana ni nani?Kwani mbowe naye ni mtu wa maana wa kusikilizwa?
Katiba ya ccm inasemaje kuhusu vikaratasi mfukoni?Mbowe anakatibu wake mfukoni! Kweli hii ndio demos cratos ya kweli! Chadema ishini mliyoyahubiri enzi hamjafahamika.
Nibora ungekaa kimya kuliko ulichokiandika maana ukijua na siyo kosalako mlaumi aliyekuleta humutoka wamemchukua waliemnadi kama fisadi namba 1, nimepoteza imani kabisa na chagadema.
sasa wametoka monduli watahamia sanawari kwa Joh MAKINI
na wabongo walivyo hodari kwa kufuata mkumbo
hivi mtei wa simanjiro
au rombo?
Ccm watazidi kutapatapaHivi akipatikana mchaga mwenye CFA itakuwaje?
kwa hiyo kwa akili yako ya panzi uliyokuwa nayo upinzani ni kuua ajenda kuu ya ufisadi na kukaribisha mamluki yenye tuhuma za ufisadi kutoka ccm. hiyo ndio upinzani kwa tafsiri yako.! unachekesha. tuambie nani ana imani na hayo mafisadi eti upinzani ! kwa sasa. mnaua chama eti mnajifanya mnajenga upinzani. upinzani ulishakufa ni bora tumwachie Magufuli aendelee kutumbua majipu ya ukweli na sio hawa viongozi uchwara wetu wanaopiga hela kwa kwenda mbele.
Umenifurahisha sana Eungata eti mtusi.Mh,lembeli?
Si wangempa hata lisu,au lema ,ama waitara.
Sasa huyo mtusi kweli ataweza huyo kweli?