Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

viongozi wa chadema mtakuwa mmebugi sana kuchagua huyu jamaa. tunajua hili litakuwa chaguo la Lowasa tuu. kweli sasa tutaamini chama kimeuzwa.haiwezekank ccm walewale waongoze upinzani. over our dead body
Naona umeamua kuwanga mchana
 
Chadema tunahazina ya Makamanda wengi na Mwenyekiti yupo makini sana
Mgekaa robo tatu ya mwaka kumpata mrithi wa Dr Slaa???
CHADEMA hamna lolote, Chama kimebaki kuwa kimbilio la Wezi wanao tumbuliwa Serikalini, Majambazi wa zamani, Mafisadi, walalamishi na Division Zero
 
Hatufanyi mambo yetu kwa mihemko wala maigizo ya lumumba
 
Huna akili kwa 100% nini maana ya upinzani?
kwa hiyo kwa akili yako ya panzi uliyokuwa nayo upinzani ni kuua ajenda kuu ya ufisadi na kukaribisha mamluki yenye tuhuma za ufisadi kutoka ccm. hiyo ndio upinzani kwa tafsiri yako.! unachekesha. tuambie nani ana imani na hayo mafisadi eti upinzani ! kwa sasa. mnaua chama eti mnajifanya mnajenga upinzani. upinzani ulishakufa ni bora tumwachie Magufuli aendelee kutumbua majipu ya ukweli na sio hawa viongozi uchwara wetu wanaopiga hela kwa kwenda mbele.
 
1457721736638.jpg
 
hazina yenyewe ndio kina Lembeli. rudi kajipange upya kamanda. watu tuliowavizia yaani makapi kutoka ccm.????
Poleni sana kibuyu chenu cha uchawi hapo Lumumba kipindi hiki kimewadanganya sana
 
Back
Top Bottom