Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Freeman Mbowe: Nawaletea Katibu Mkuu Makini

Mbona mimi nimesikia ni sugu ndio amepewa hiyo nafasi, hii ni baada ya kupata kura nyingi kuliko wabunge wengine wote
 
Kwa taarifa nilizonazo za uwakika ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Kahama James Lembeli ndio katibu Mkuu mtarajiwa. Kwa hili naomba niwapongeze watani zangu kwa kupata jembe.

Kwa hakika James Lembeli ana uwezo kama Dr. Salaa na pengine ana uwezo mkubwa kuliko Dr. Slaa....
asipo kuwa yeye utatembea uchi kuanzia wapi hadi wapi?
 
Kwa taarifa nilizonazo za uwakika ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Kahama James Lembeli ndio katibu Mkuu mtarajiwa. Kwa hili naomba niwapongeze watani zangu kwa kupata jembe.

Kwa hakika James Lembeli ana uwezo kama Dr. Salaa na pengine ana uwezo mkubwa kuliko Dr. Slaa....
Kama ndivyo Chadema wamepotea njia.
 
Mh,lembeli?
Si wangempa hata lisu,au lema ,ama waitara.
Sasa huyo mtusi kweli ataweza huyo kweli?
 
Kwa taarifa nilizonazo za uwakika ni kwamba aliyekuwa mbunge wa Kahama James Lembeli ndio katibu Mkuu mtarajiwa. Kwa hili naomba niwapongeze watani zangu kwa kupata jembe.

Kwa hakika James Lembeli ana uwezo kama Dr. Salaa na pengine ana uwezo mkubwa kuliko Dr. Slaa....
Source??
 
Kama ni kweli, NI AIBU ILIYOPITILIZA KWA CHADEMA KUMPA UKATIBU MTU AMBAYE UANACHAMA WAKE HAUJAFIKA HATA MWAKA, tena akitokea sisiemu!
Ni tusi kwa wote wale wa zamani na walikuwa na sifa za kuwa katibu mkuu. Pia ni TUSI KWA WALE WANACHADEMA WA KWELI. FORGET THE LOWASSA BANDWAGON! Naongelea wale wana chadema kweli.
This will be a new level below of an arleady under par performance by Mzee wa kubadili gia, Mbowe!
 
aiseee... sasa kama ni comfirmed tunasubiri nin, si tumpe hongera zake tu, ataendesha chama katika wakati mgumu kuliko katibu mkuu mwingine yeyote yule, hasa ukizingatia kuwa siasa za nchi zimebadilika sana......Ufisadi is no more an agenda........ ni mwendo wa majipu tu
 
Back
Top Bottom