Freeman Mbowe na Jopo lake Waingia Bunda, aongoza kikao cha Mashauriano

Sawa komredi.....

Mashauriano yenyewe yamehusisha pia YALE MANENO YAKE YA tuhuma za UKABILA dhidi yake na watu wa Kaskazini ?!!!!

#TaifaLetuNiMoja
#WanasiasaWaacheMbelekoYaUkabila
Huwezi raja ukabila au kusini kama huwazi kikabila na kusini.
Kuwaza ukabila karnes ya 21 ni upunguani
 
Yeye kachanjwa alafu kavaa barakoa huku wafuasi wake ambao hawajachanjwa hawana barakoa!
.
Mbowe ni msanii sana
 
yuko wapi mwenyekiti wa Bavicha? sauti ya zege?
wapi Matiku? hivi vifaa ni assets sio mchezo.
sijui kwa nn chadema walishindwa kuwalinda watu kama hawa.
 
Back
Top Bottom