Freeman Mbowe na Edward Lowassa wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi kwenye Kanisa la Kilutheri Azania Front

Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mbunge wa Hai, Mhe Freeman Mbowe na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA na Waziri Mkuu Mstaafu,Mhe Edward Lowassa, leo Wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi kwenye Kanisa la Kiinjili la Kilutheri (KKKT) Azania Front Posta ya zamani jijini Dar es salaam.

View attachment 724632 View attachment 724633

View attachment 724634

Hivi ule ' Waraka ' wa Kiitikadi kama siyo wa Kiuanaharakati wa TKKK umetolewa lini tena Mkuu? Mimi nimesahau kidogo!
 
Naomba kanisa lisitoe fursa kwa wanasiasa kuzungumza ibadani,wafanye ibada kama waumini wa kawaida tu!
 
Kuu la Malaika limeenda kusali, hapo atakua anapanga mipango ya namna ya kuongoza Malaika....Gabriel ajipange sana
 
Country Lutherans[2]
Germany 11,787,811
Ethiopia 7,886,595
Tanzania 6,531,336
Sweden 6,300,000
Indonesia 6,046,321
Denmark 4,400,754
India 4,042,543
Finland 4,031,235
Norway 3,857,463
United States 3,765,362[c]
Madagascar 3,000,000
Nigeria 2,321,000
Netherlands 1,969,755
Nchi rafiki wakubwa wa CHADEMA ni GERMANY..connec dot
What is it for?how savage you are
 
Haya makanisa nayo ifike mahali yajitathimini, inakuwaje watuhumiwa wa ufisadi ,ukwepaji kodi na madawa ya kulevya wanaingia kanisani?
 
Back
Top Bottom