Freeman Mbowe na Edward Lowassa wameshiriki ibada ya Jumapili ya Matawi kwenye Kanisa la Kilutheri Azania Front

Kumbeee sasa nimepata logic...

Lowassa Mlutheri

Mbowe Mlutheri

Kanisa la KKKT sasa linatumika na hawa viongozi wa kisiasa directly kumsimanga na kumsema vibaya Mh. Rais JPM na serikali yetu ya wananchi sbb ya uhusiano wa Chadema & KKKT nimeona sasa..
Umesahau ule wa wakatoliki?
 
Asante kwa kutuhabarisha., pamoja na hayo sijaipenda hii mada, kwa kuwa kila mtu ni mja wa Mwenyezi MUNGU. Ni viongozi wetu, hata hivyo kila mtu anahitaji faragha na MUNGU Mwenyezi muumba. Kwakuwa wahusika hawajalalamika, POA
 
Hii michezo upinzani wanayoifanya itatufikisha pabaya kama Taifa. Ikemewe mapema.
 
Back
Top Bottom