Freeman Mbowe na Dr Slaa kutikisa Dodoma Jumamosi

Heko Chama cha Demokrasia na Maendeleo
Hakika ninawatakia kila la KHERI pale mnapoanza na hata mtakapomaliza!
Wao wana pesa Sisi tuna MUNGU aliyehai!

Wanasiasa wawili wanaotikisa katika siasa za Tanzania Mkiti wa Chadema Freeman Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi.

Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.
 
Jamani CHADEMA hamna huruma kabisa. Mtaacha MAGAMBA wafe kwa viwewe jamani. Ndani ya Bunge mmesha wageuza wapinzani. Nje ya Bunge nako mnapiga bila huruma namna hiyo!!?? Mwisho watasema CHADEMA ndiyo imemuua Bi. KIDUDE ili kichukiwe na wapenda Taarabu kama sio muziki wa Jahazi.
Walidhani wakimuweka ndani Lwakatare shughuli zote za CHADEMA zita simama na yule Jangili wa tembo akaanza mikutano ya kinafiki. Kumbe hawakujuwa kwamba utekelezaji wa kazi unatokana na mipango kabambe ambayo inatekelezeka licha ya rasilimali kidogo walizo nayo CHADEMA.

CHADEMA KUMBUKENI KWAMBA "KIFO CHA KENGE HADI MASIKIO YATOE DAMU"

Peopleeeeeeeeeeeeeeeee's Powerrrrrrrrrrrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

labda angekuweko Zitto ndio wakazi wa Dodoma tungeshtuka kwani yeye sio msema hovyo anakwenda kwa data lakini hawa wengine ni sawa na msemo wa Mbunge wa Magomeni mahammud Chomboh
"ILI SINDANO ISHONE NI LAZIMA IINGIZIWE UZI KWA NYUMA NA TENA TARAAAAATIBU"
 
Haki ya kufanya mikutano ya kichama ni ya kikatiba. Asije tena mtu yeyote kuwazuia kuwa kuna vikao vya bunge vinaendelea mkashindwa kufanya mikutano yenu. You need to demonstrate to them what peoples power really means.
 
Never Give Up! Mimi nipo kijijini kwa bibi na babu nahubiri habari za ukombozi. 'Sign of victory'aan Mbowe na Katibu mkuu wake Dr Wilbroad Slaa wanatarajia kuiteka Dodoma siku ya Jumamosi tarehe 20/04/2013

Viongozi hao watakuwa katika uzinduzi wa Kanda ya Kati ya Chama hicho uzinduzi utakaoshirikisha pia wabunge wote wa Chadema walioko Dodoma kwenye vikao vya bunge.

Uzinduzi huo utafanyika katika viwanja vya wajenzi maili mbili Manispaa ya Dodoma.Tangu Chadema ianzishe utaratibu wa Kanda umekuwa mwiba mchungu kwa CCM.[/QUOTE]
 
labda angekuweko Zitto ndio wakazi wa Dodoma tungeshtuka kwani yeye sio msema hovyo anakwenda kwa data lakini hawa wengine ni sawa na msemo wa Mbunge wa Magomeni mahammud Chomboh
"ILI SINDANO ISHONE NI LAZIMA IINGIZIWE UZI KWA NYUMA NA TENA TARAAAAATIBU"

Si mumchukue basi?? CHADEMA ni taasisi na hata mwenyewe analijua hilo fiki!!!! Mbona yupo jiiiiii na watu wanatwanga kwa kwenda mbele. si unaona jinsi walivyo geuka kuwa wapinzani. Maana kazi iliyo baki ni kujibu mashambulizi badala ya kutekeleza ahadi zao kwa waTanzania.

Sasa wewe subiria nyomi ya Jmosi ndio utajua "CHAKA LA SIMBA HARAMU KWA NGUREWE".
 
labda angekuweko Zitto ndio wakazi wa Dodoma tungeshtuka kwani yeye sio msema hovyo anakwenda kwa data lakini hawa wengine ni sawa na msemo wa Mbunge wa Magomeni mahammud Chomboh
"ILI SINDANO ISHONE NI LAZIMA IINGIZIWE UZI KWA NYUMA NA TENA TARAAAAATIBU"
Kwahiyo unachokuja kuthibitisha hapa ni kuwa Zitto anakuingizia uzi! Good for you.
 
Nakumbuka Mbeya jinsi Kamanda wa Anga alivyoiteka Mbeya sasa sipati picha hii ya Dodoma kama na raisi wa watanzania atakuwepo Dr. W. Slaa... Natamani kuwa Dodoma siku hiyo, update muhimu

yap slaa atakuwepo buku ten
 
Asafali(afadhali)!Na tena muwaambie bint kiroboto na yule mzee wa viroba vya saa saba mchana wakiendeleza tabia ya kuwanyanyasa wabunge MAKAMANDA wetu tutakuja kwa pamoja tujazane hapo Dom ili watambue na kuheshimu uwepo wenu hapo kwani wanaonekana hawajui ya kwamba nyie hapo ni mmetumwa na WANANCHI na mawazo mnayoyatoa ni ya wananchi sio yenu.WATAMBUE WANANCHI WANA UELEWA MKUBWA.,wakidhani wanawadanganya kumbe hola ni wanajidanganya wenyewe.
 
Back
Top Bottom