Uchaguzi 2020 Freeman Mbowe: Kuna mamilioni ya wapigakura hewa na kuna vituo vingi hewa, bila NEC kurekebisha hakutakuwa na uchaguzi

Sasa kama alimaanisha Zanzibar kwa nini amesema (Mbowe) ,, mamilioni ya wapiga kura hewa '''? Zanzibar mamilioni ya wapiga kura yanatokea wapi wakati idadi ya Wazanzibari wote haifiki milioni1.5?
Kuna clip kwenye uzi huu inasema kuna vituo 79 hewa
 
Ha ha ha naona baada ya mshale wa jana umetoka nje leo. Sikuhizi unaandika kidhungu kweli kweli umemaliza ile tuition ya Amsterdam!!
 
“Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe maelezo & suluhisho haraka la sivyo uchaguzi huu utashindikana kuanzia hatua ya awali”. Freeman Mbowe.

“There’s massive BVR manipulation. Millions of ghost voters & polling stations; misplaced & or missing of “chosen” legitimate voters! NEC must come out with explanation & mitigating strategy. Anything short will electrify this country and render the election impossible ab-initio”. Freeman Mbowe.

Hii ni kauli ya Mwenyekiti wa chama baada ya ukimya wa muda mrefu, naona kazi yenyewe karibu inaanza.


Uchaguzi upo palepale.Tulia mzee dawa iingie vizuri.
 
wapumbavu wengi hudhani kujua english ndo kua smart kichwani
Usiwadanganye wenzio wakadharau kiingereza maana wasipokijua kupata ajira wasahau hata kwenye mashirika na taasisi za umma. Kiinereza ndiyo mpango mzima. Hata kama ni mjasiriamali hakikwepeki maana ukitaka kukuza mtaji wako kiingereza utakitaka tu hata kama kwa kusaidiwa na wanaokijua, tusidanganyane.
 
Mbwembwe zote hizo kumbe wanapola haki za wananchi kwa kuwanyima haki zao za kikatiba!
Aibu yao wahubiri hewa wa amani
 
Dawa pekee ya yote haya ni kuwa na ushahidi usiopingika.

Muda bado upo wa kutosha kukusanya ushahidi unaoeleweka na mtu yeyote hata akiwa mjinga.

Ushahidi huo ukikusanywa kwa uangalifu, raia wasiokuwa na hatia wakiuawa kwa upuuzi wa hawa watu, shingo zao ni haki yetu.

Nasisistiza tena: Kupiga mayowe ya "Mwizi Mwizi", wakati mwingine husaidia uharifu kufanyika; lakini bora zaidi ni kumkamata mwizi na mali alizoiba, ili kupata ushahidi halisi.

Tengenezeni mkakati wa kukusanya ushahidi wa uhalifu huu popote utakapofanyika, na wakati utakapowadia, ushahidi huo ndio kitakuwa kitanzi cha kuwanyongea hawa wapuuzi.

Teknologia ya kutosha ipo ya kunasa uhalifu wa aina hii.
 
Kuna uvurugwaji wa kutisha wa Daftari la wapiga kura. Mamilioni ya wapiga kura hewa & maelfu ya vituo bandia. Wapiga kura wengi wapinzani wamehamishwa vituo au kuondolewa kwa makusudi. NEC itoe maelezo & suluhisho haraka la sivyo uchaguzi huu utashindikana kuanzia hatua ya awali”. Freeman Mbowe.
Mbowe anaweweseka
Wakati daftari lilipowekwa wazi chadema waliwatangazia wafuasi wao wasusie,ilipofika siku mbili kabla muda kwisha ,chadema wakabadili gia angani na kuwataka wafuasi wao wakajiandikishe
Hapo tu,tayari chadema walikua wameshashindwa uchaguzi
Mbowe anatafuta visingizio,daftari lipo wazi inajulikana idadi kamili,yeye ayatoe hayo mamilioni ya wapiga kura hewa tuweze kuyahakiki,Mbowe aache kuhadaa wafuasi wake
 
amekaa kimya hataki hata kusaidia mwenzie kampeniameibuka na uongo wake hakuna tatizo kama hilo watanzania tuko makini uchaguzi uko palepale tulieni mnyolewe kaona na jimbo linaondoka mapeeeeeeeema asubuhi

mbowe alikuwa anaandaa balaza la mawaziri etiii?????
 
Mbowe anaweweseka
Wakati daftari lilipowekwa wazi chadema waliwatangazia wafuasi wao wasusie,ilipofika siku mbili kabla muda kwisha ,chadema wakabadili gia angani na kuwataka wafuasi wao wakajiandikishe
Hapo tu,tayari chadema walikua wameshashindwa uchaguzi
Mbowe anatafuta visingizio,daftari lipo wazi inajulikana idadi kamili,yeye ayatoe hayo mamilioni ya wapiga kura hewa tuweze kuyahakiki,Mbowe aache kuhadaa wafuasi wake
14F5E038-297F-4A49-8629-A7DEA9894D9A.jpeg
 
Lissu,Mbowe na Mnyika ,Lissu,Mbowe na Mnyika ,Lissu,Mbowe na Mnyika nimewaita mara tatu!!

Itisheni Press conference haraka sana kuhabarisha umma uhuni tume ya uchaguzi,tiss na maded wa ccm wanvyofanya kuvuruga uchaguzi ,waambie kabisa uhuni wao hautavumilika,no more vituo feki no more wakiga kura feki.

Chadema mmtumia resource zenu zote kuwafikia wananchi TZ nzima ,lengo ni kuwafikia wapiga kura wengi na ni kweli mmewafikia na wamewaunga mkono ,kilichobaki ni kulinda kura zao/zetu!!

Wizi unafanyika kwenye vituo hewa na wapiga kura hewa na kuweka mawakala wao huku wakifanya kama wapinzani!!

Zitto kashawaambia kwamba uhuni wao kigoma mjini hawawezi kufanya ,Zitto kashagundua wapiga kura feki 13K kutoka JKT na wanafunzi,Kawaambia live TISS wasijaribu.

ZEC ndio madudu tupu ,wapiga ,Mwambie Maalim akaze asikubali kupiga kura tar 28 ,Mchezo unaisha tar 27......Tar 27 wapige kura watu wote hakuna kupiga kura mara mbili ,bara watu mil 29k(Including hewa) wanapiga siku moja ,iweje wapiga kura 500k(including hewa) wapige kwa siku mbili? Maalim Maalim maalim nimekuita mara tatu ,pigeni kura tar 27 ,mkikubali kupiga kura tar 27 na 28 basi mmeuimia.
 
Ndugu yangu,
Nyie ndio wenye serikali mbona ilikuwa ni ishu ndogo tu kufuta vyama v

Matokeo lazima yasainiwe na wakala sasa hivi vituo hewa mawakala wa chadema watapatikanaje?
Fikiria Mawakala hewa, na wamekubalika. Ukitaka kuhoji unaambiwa unasababisha fujo. Vipi linawezekana au haliwezekani. Nami nafikiria bado.
 
Kwa hivyo ndiye anayewaambia na wasimamizi wafanye figusi za kuwaapisha mawakala? Ndiye aliwaambia NEC kuengua wagombea wa upinzani wa udiwani na ubunge?

Ukiunganisha vituko vya NEC utaelewa kuwa ni mkakati uliosukwa ili bwana dik uchwara aonekane ameshinda kwa kishindo, na hatimaye aje atawazwe mfalme. Tz inaelekea kubaya sana - si kesho lakini keshokutwa
tunaelekea kuzr sana ķuliko tulipotoka... isipokuwa kila jambo na tukio huwa halirud nyuma.

mkuu kwanza ni mhim kujua kuwa uhuru tulio nao wengi wanautamani swala la vituo vya kupigia kura kunamtu anaitwa FIM kawalisha watu matango pori kwa kuwaabia et kunavituo hewa.....



nasubr. avitaje
 
Back
Top Bottom