Freeman Mbowe kulihutubia taifa 19 Julai, 2021

Kwani mwendakuzimu anasemaje huko jehanamu aliko?
Unazunguka na hii comment kwenye kila thd,najua lengo lako ni uchekewe na wale wenye mawazo kama yako ila tambua kwamba,wewe ni kiumbe hai na ipo siku utakufa pia,kifo hakidhihakiwi kwani ni mapitio ya kila kiumbe chenye uhai.
 
Kila nafsi itaonja mauti tuwe wastaarabu Kama watanzania tujadiliane na kuheshimiana tuache kuwa waropokaji maana haipo sawa katiba iwashirikishe wananchi au wananchi waelimishwe kwanza umuhimu wa katiba kabla ya kwanza kuandika mpya maana navyoona walio wengi hawajui umuhimu wake kwao na wanasiasa na wanaharakati wachache watumie majukwaa yao kuelimisha raia sio kuangalia maslahi yao ya katiba maana walio wengi hawajui umuhimu wake kabisa tufanye utafiti hiyo ipo wazi kabisa sie huku vijijini tunaona Hali halisi ya watanzania washirikishwe KWANZA
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.

Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya

Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Mtu anayehutubia huwa ni mkuu wa nchi tu jaman acheni kupotosha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu upuuzi wa Serikali kucheka na nyani unaweza tuletea shida,kama watu Hawaii sheria na kuheshimu mamlaka mnashindwa kuwapumzisha ndani Ili watulie vizuri?

Mbona awamu iliyopita walikuwa na adabu? Mbowe anahutubia Taifa?
 
Wewe ulitaka ahutubie nini bwashee?
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.

Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya

Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Atahutibia Wana chadema
 
Ukishakuwa na chama ambacho hakina malengo ila kinadandia kila wanalokutana nalo mbele ujue hamna chama hapo....chadema kama wako serious wawe na malengo wanayotaka kuyafanikisha ndo wayalete kwa wananchi. Sio kuvizia hotuba za viongozi na mawaiziri ndo wanakomalia HIYO HAIWEZI KUWAJENGA KAMA CHAMA
Kwa Sasa malengo ni KATIBA MPYA na TUME HURU!
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.

Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya

Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Anahutubia Taifa yeye kama nani? Wewe sema anatoa tamko kwa wanachama na wafuasi wake, labda kuhusu kujikinga na Corona au sijui kitu gani
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.

Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya

Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Eti Mbowe analihutubia Taifa haya maneno mazito msiyatumie kama ugoro. .ahutubie kama Nani ...Sema tu ataongea na waandishi wa Habari fullstop.au sema ataongea na wanachama wake wa chadema
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.

Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya

Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Akaihutubie saccos yake pale Ufipa.
 
Kama wewe utakavyoingia huko na kuungua pasipo mwisho kwa sababu ya dhambi ya chuki uliyopandikizwa na wenzako huku wao wakiendesha biashara zao kupitia ulingo wa siasa!
Hiyo ID ya Nyamsenga inanikumbusha Sabato,moja ya vichwa makini kabisa pale UDSM. Sasa wewe umebeba jina lakini kichwani ni "hewa".
 
Back
Top Bottom