The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 38,115
- 117,896
Unazunguka na hii comment kwenye kila thd,najua lengo lako ni uchekewe na wale wenye mawazo kama yako ila tambua kwamba,wewe ni kiumbe hai na ipo siku utakufa pia,kifo hakidhihakiwi kwani ni mapitio ya kila kiumbe chenye uhai.Kwani mwendakuzimu anasemaje huko jehanamu aliko?