Freeman Mbowe kulihutubia taifa 19 Julai, 2021

Freeman Mbowe kulihutubia taifa 19 Julai, 2021

1626632723619.png
 
Kwani jana kulikua na ulazima gani wa kukamata watu wenye lengo la kuongea maswala ya Katiba tena wakiwa ndani hotelini...kwa sasa watu wamechafukwa hasa kutokana na makato ya simu na maisha magumu...naona CHADEMA wakipata ufuasi itafutwe namna nzuri ya kuwakabili madhara yasitokee huko mbeleni
 
Kwani mwendakuzimu anasemaje huko jehanamu aliko?
Kama wewe utakavyoingia huko na kuungua pasipo mwisho kwa sababu ya dhambi ya chuki uliyopandikizwa na wenzako huku wao wakiendesha biashara zao kupitia ulingo wa siasa!
 
Ukishakuwa na chama ambacho hakina malengo ila kinadandia kila wanalokutana nalo mbele ujue hamna chama hapo....chadema kama wako serious wawe na malengo wanayotaka kuyafanikisha ndo wayalete kwa wananchi. Sio kuvizia hotuba za viongozi na mawaiziri ndo wanakomalia HIYO HAIWEZI KUWAJENGA KAMA CHAMA
Kwa hyo suala la katiba mpya hiyo hoja wameidandia kutoka kwa waziri gn?
 
M
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.

Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya

Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Matamko kila mkionewa..!

Ni wakati wa kufungua kesi za Kikatiba, mkifeli muende hatua nyingine zaidi.

Kwa hayo matamko, jamaa wanazid kuwadharau.

RPC ashtakiwe
 
Kwa hyo suala la katiba mpya hiyo hoja wameidandia kutoka kwa waziri gn?
Suala la katiba linapaswa kuwa hitaji la wananchi sio chama cha siasa.....wanachokitafuta chadema sio katiba mpya bali ni urahisi wa kushika dola.
 
Suala la katiba linapaswa kuwa hitaji la wananchi sio chama cha siasa.....wanachokitafuta chadema sio katiba mpya bali ni urahisi wa kushika dola.
Naona una ruka ruka tu! Jibu swali niliokuuliza hpo juu
 
Unaandaa tatizo kisha unaliombea mchngo.
 
Tunaishukuru ccm kwa kuruhusu mlinzi wake wa getini kutangaza hotuba ya Mbowe .

Maendeleo hayana chama
 
Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.
Wamekubaliwa kuendelea na Kongamano?

Wakiondoka hivi hivi mjini bila kutimiza hilo maana yake ni kwamba serikali imetimiza lengo lake.

Inabidi waweke Kongamano, halafu tuone kama watarudishwa ndani!
 
TOZO MPYA ZA MIAMALA YA SIMU NI KILIO kwa WATANZANIA MASIKINI. MAMA watendee HAKI wananchi, usipofanya hivyo Mola atawatendea. Pia Mama usisahau Katiba MPYA hasa ile ya Mzee Warioba.
 
Mbowe akihutubia
Basi spika atataka kujibu
Waziri mkuu atataka kujibu
Uviccm watataka kumjibu
Mkuu wa mkoa & wilaya watataka kumjibu
Polisi watataka kumjibu
 
Back
Top Bottom