Freeman Mbowe kamwe usidhani kuwa wenye Akili Tanzania wamepungua au hawapo tena kabisa, bali jua ya kwamba wengine tupo na tumejaa tele tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,006
Reaction score
126,388
Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao kukutumia na sasa KIMKAKATI zaidi umemua tena kuwa Kwao na wanakutumia katika hili.

Freeman Mbowe wenye Akili Kubwa (akina GENTAMYCINE) tunajua kuwa kuna Mambo makubwa Mawili yako nyuma ya hizi HARAKATI za MTIFUANO unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA ambayo uliijenga KITABAKA, KIUNAFIKI na KIUTEGEMEZI kwa Watu fulani fulani hasa Kimaslahi.

Freeman Mbowe tunajua kuwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA yana MKONO wako na kwamba kinachoenda kufanyika hapa ni ama hawa CHADEMA Wapuuzi WALIOJIUZURU na KUJITOA bila kusahau wale wa G55 ni kwamba ama tayari mmeshafika Bei hivyo mtahamia huko au mnajipanga kuanzisha Chama Chenu ili mtumike vizuri Kuwamaliza CHADEMA ya sasa ya Lissu na Heche na lengo la Wanaowatumia litimie na kama kawaida yao likishatimia baada ya kuwatumieni baadae wanabadilikia na mnaishia Kuteseka Magerezani, Kulaumu na Kujilaumu.

Hakika nimeamini ukifanya DILI na Mtu wa Mkoa wa Kilimanjaro kuwa nae Makini sana na kamwe usije hata Kumuamini.
 
Hivi mnawajua Wachaga vizuri kweli kwenye mambo ya maslahi?? Au bado hamuwajui?? Wale jamaa bana kwenye mambo ya maslahi akishakuwa king'ang'anizi hawezi kuacha labda afe, nilijua tangu mwanzo kwamba Mbowe hawezi kuachia chama kirahisi kama mnavyofikiri ninyi
 
Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao kukutumia na sasa KIMKAKATI zaidi umemua tena kuwa Kwao na wanakutumia katika hili.

Freeman Mbowe wenye Akili Kubwa (akina GENTAMYCINE) tunajua kuwa kuna Mambo makubwa Mawili yako nyuma ya hizi HARAKATI za MTIFUANO unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA ambayo uliijenga KITABAKA, KIUNAFIKI na KIUTEGEMEZI kwa Watu fulani fulani hasa Kimaslahi.

Freeman Mbowe tunajua kuwa yanayoendelea sasa ndani ya CHADEMA yana MKONO wako na kwamba kinachoenda kufanyika hapa ni ama hawa CHADEMA Wapuuzi WALIOJIUZURU na KUJITOA bila kusahau wale wa G55 ni kwamba ama tayari mmeshafika Bei hivyo mtahamia huko au mnajipanga kuanzisha Chama Chenu ili mtumike vizuri Kuwamaliza CHADEMA ya sasa ya Lissu na Heche na lengo la Wanaowatumia litimie na kama kawaida yao likishatimia baada ya kuwatumieni baadae wanabadilikia na mnaishia Kuteseka Magerezani, Kulaumu na Kujilaumu.

Hakika nimeamini ukifanya DILI na Mtu wa Mkoa wa Kilimanjaro kuwa nae Makini sana na kamwe usije hata Kumuamini.
Ninachokupendea wewe mtu sio mnafiki, ulichoandika ndio ukweli mwenyewe kwamba Mbowe ndio anahusika na changamoto zinazoendelea sasa Chadema.

Kuhusu kutoaminika kwa watu wa huo mkoa Hilo jambo ni kwamba Kila mtu mwenye akili anajua hao watu hawaaminiki hata kidogo.
Hongera kwa kunyoosha bila kuttafuna maneno.
 
Tumuache Mwenyekiti Aliyemaliza Muda wake apumzike kwa aman.

Alisema mwenyewe kuwa anaenda kupumzika na kudeal na biashara zake.

Tumuache.
Haya yanayotokea nina uhakika hayana mkono wake.
 
Mimi ndiyo GENTAMYCINE. Nimemvumilia kwa muda mrefu Mbowe juu ya hili ANALOLIFANYA na leo NIMEMNYOOSHA vilivyo.
 
Tumuache Mwenyekiti Aliyemaliza Muda wake apumzike kwa aman.

Alisema mwenyewe kuwa anaenda kupumzika na kudeal na biashara zake.

Tumuache.
Haya yanayotokea nina uhakika hayana mkono wake.
Mkuu nimetoka Ibadani (Kanisani) sasa hivi hivyo acha Kunikera kisha nikakujibu hovyo na nikaharibu kabisa Ibada ya Leo.
 
Back
Top Bottom