Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

Freeman Mbowe awasili Tabora kuimarisha chama

Molemo

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Posts
14,620
Reaction score
13,361
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amewasili Mkoani Tabora tayari kuanza vikao mfululizo vya kikazi kwa Kanda ya Magharibi (Katavi, Kigoma na Tabora).

Huu ni mwendelezo wa ziara ya maboresho ya kanda anayofanya kama sehemu ya maandalizi muhimu kuelekea uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Kesho asubuhi Jumamosi Mwenyekiti atafungua na kuendesha kikao cha Baraza la Uongozi wa Kanda kisha jioni kuanzia saa 9 atahutubia Mkutano wa Hadhara Mjini Tabora katika Uwanja wa Town School.
 
usisahau picha
ila mwanza alivyunja record kwa idadi ya watu waliokuwepo

nasubiri ccm wajibu mapigo
 
Hii kanda ni muhimu sana maana wanyamwezi bado wapo usingizi wa pono wanahitaki kutolewa matongotongo
 
Hizi dakika za majeruhi mkuu Molemo , tafadhalini endeleni na amsha amsha mpaka tuingie magogoni mwaka huu na kuinyoosha nchi iliyopindishwa na mafisadi CCM hawa.
 
Hizi dakika za majeruhi mkuu Molemo , tafadhalini endeleni na amsha amsha mpaka tuingie magogoni mwaka huu na kuinyoosha nchi iliyopindishwa na mafisadi CCM hawa.

Tumekusikia Kamanda Ndikwega.Tunakuhakikishia kazi iliyotukuka
 
Last edited by a moderator:
Maskini mzee slaa kanyimwa hela za kuzunguka kufanya harakati za kujiuza sijui atafanya nini tena make mbowe ndiyo anajipanga kugombea.
 
Maskini mzee slaa kanyimwa hela za kuzunguka kufanya harakati za kujiuza sijui atafanya nini tena make mbowe ndiyo anajipanga kugombea.

Illusions and hallucinations with circumstantial thinking....... Endelea.....
 
Tutafanya amsha amsha kubwa sana hapa.Tuna mategemeo makubwa na kanda hii.
Lakini kumbukeni huko Tabora ndiyo nyumbani kwa musa tesha mliyemwagia sumu na yule mama mliyempiga.
 
Ile biashara yake hakuna tabora amefuata nini?
 
Maskini mzee slaa kanyimwa hela za kuzunguka kufanya harakati za kujiuza sijui atafanya nini tena make mbowe ndiyo anajipanga kugombea.

Gamba ww kaa kimya DR SLAA uwezi mlinganisha na Maccm yanayouana hovyo Lisa URAIS.
 
Lakini kumbukeni huko Tabora ndiyo nyumbani kwa musa tesha mliyemwagia sumu na yule mama mliyempiga.

Hehehhe.. kuhusu Mussa Tesha muulize mwigulu nchemba anajua alichomfanya kijana wa watu daah.... kweli acheni tu mwigulu akatubu kwa TB Joshua... manake mioyo ya waliokufa na kufanywa vilema yote inamlilia yeye!

Hivi ccm mlishampeleka Mussa Tesha india au bado mnamzungusha kama sanamu la maonyesho?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom