mbowe ni kiongozi makini na mbunifu saaana. Kupitia mbowe ukawa wanachukua dola october
===Mwenyekiti Taifa amepanda jukwaani na ameanza kusema yafuatayo=========
1. Sukuma land imebarikiwa rasilimali nyingi lakini badp watu wake nimaskini.
2. Alitolea mfano wa almasi ya Mwadui ambayo imechimbwa miaka mingi lakinibado haiwanufaishi wananchi.
3. Kwa sasa Itilima na Bariadi zina takribani watu laki 7 na nusu lakiniukiuliza kuna shuke ngapi za Sekondari utapata aibu tupu.
Kwa matatizo haya yote bado mliichagua CCM mwaka 2010. Tunahitaji kufanyamabadiliko makubwa mwaka huu 2015.
Mwenyekiti aligusia matatizo ya zao la Pamba na kuwakumbusha wananchi kuwaKambi Rasmi ya Upinzani anayoiongoza walisemea kuhusu mbegu feki iliyosambazwakatika msimu uliopita ambayo ilisababisha hasara kubwa kwa wananchi. Serikaliilikubali kuwalipa wananchi fidia lakini mpaka leo hilo halijatekelezwa.
Aliongeza kuwa amepata taarifa kuwa wananchi wanauza pamba kwa mkopo na kwabei rahisi, hilo halitakubalika. Ni lazima kama Chama watachukua hatua kuzuiahilo.
Mwenyekiti aligusia suala la elimu na kuwaambiakuwa Serikali ya CCM imeharibu mfumo wa elimu. Unazaliwa Bariadi, unakuliaBariadi, unaoa Bariadi na unafia Bariadi. Hii ni tofauti na mfumo wa zamani waMwl Nyerere.
====More===
Alitolea mfano Jimbo lake ambapo ana Vijiji 64, na vijiji vyote 64 vina maji safi na salama. Akasema katika vijiji 64 anazo shule za sekondari 72. Akawataka wananchi kufanya mabadiliko makubwa ya kiutawala kwenye uchaguzi mkuu ili kuleta mabadiliko
Mfumo wetu elimu ni umeharibiwa ndio maana tunazidiwa na Kenya. Hata Rwanda ambayo waliuana wenyewe kwa wenyewe leo wana mfumo bora wa elimu kuliko sisi.
Raha zaidi ni kwamba huu mkutano uko kijijini na sio mjini , sowale waliokuwawanasema CHADEMA iendevijijini ,imeenda sasa tangu jana Mbowe yuko vijijini na sio makao makuu ya Jimbo ama Wilaya ......
Chadema mlianza na shetani mtamaliza naye tu.
Msalani.Namafananisha Zitto na Daud na Mbowe na Goliath!
Chadema mlianza na shetani mtamaliza naye tu.
==More===
Mwenyekiti alisema kuwa zamani walikuwa wanaomba watu kujitokeza kugombea kupitia Chadema lakini mpaka sasa Chama kina watia noa 17 katika Jimbo la Itilima. Mwenyekiti aliwaasa watia nia kutowagawa wananchi pale ambapo wengine watakosa nafasi ya kuteuliwa.
Mwenyekiti amewapa nafasi watia nia wote waliopo mkutanoni kujitambulisha na kuwasalimia wananchi ila wawafahamu.
Mwenyekiti alisema Chadema wanatarajia kuwa na wabunge, si wabunge wengi tu bali wabunge bora.
Mwenyekiti aliwasimamisha pia watia nia wa Udiwani katika Kata zote 22. Ambao Jumla ya watia nia ni zaidi 90. Kutokana na muda alishindwa kuwapa nafasi ya kusalimia na kujitambulisha. Aliwataka wakichaguliwa mwaka huu kulinda rasilimali za nchi vizuri ikiwemo matumizi mazuro ya fedha.
Mkutano Umemalizika hapa na watu wameondoka wakiwa na shauku na hamasa isiyo ya kawaida.
Mkutano uko mwishoni na dalili sa Mvua zimeanza .Kesho MWenyekiti atakuwa Ukerewe kaeni mkao wa kula kwa updates, Lazima tuonyeshe tofauti
Nawashukuru sana wote mliokuwa hapa Japo Jukwaani,Japo kuna tatizo la network huku ila tumejitahidi sana kusammmarize.
Mungu Awabariki wote Peopleeeees .Natumaini Umejibu Poweeeeeeeeeer.
Nikiriport Moja kwa Moja kutoka Simiyi Ni Mimi Kamanda wenu Standalone
Nikifika Ukerewe tutawasiliana Kamanda wangu,,,Walau baada ya mkutano Tule sangara wa kuchoma.Mkuu tunakushukuru sana kwa live update ambazo ziko summarized, thank you kamanda Standalone
wana-Ukerewe na watanzania wote kwa ujumla tupo mkao wa kumsubiri kamanda wa anga, Mbowe kesho. Tuna hamu ya kusikia neno la ukombozi kutoka kwake, tumechoka na mfumo wa kinyonyaji wa CCM, tumeichoka serikali dhaifu na ya kifisadi ya CCM. Tupo tayari kwa mabadiliko na hayo tunayaona tutapata kutoka CHADEMA
Peopleeeeeeeez!
Mbowe licha ya kuwa mwanasiasa pia ni Dj mzuri sana hasa kwenye non stop music
Chadema mlianza na shetani mtamaliza naye tu.
hahahahhahaha...Umenichekesha sana...Napenda Muziki
Kamanda Mboye piga kaz ya Mungu ya kuwakomboa Watanzia kwenye dimbwi la umasikin hali yakuwa nchi yao unautajiri wa kutupwa. Piga kaz kamanda wangu wa Anga,
Nikifika Ukerewe tutawasiliana Kamanda wangu,,,Walau baada ya mkutano Tule sangara wa kuchoma.
Mkuu tunakushukuru sana kwa live update ambazo ziko summarized, thank you kamanda Standalone
wana-Ukerewe na watanzania wote kwa ujumla tupo mkao wa kumsubiri kamanda wa anga, Mbowe kesho. Tuna hamu ya kusikia neno la ukombozi kutoka kwake, tumechoka na mfumo wa kinyonyaji wa CCM, tumeichoka serikali dhaifu na ya kifisadi ya CCM. Tupo tayari kwa mabadiliko na hayo tunayaona tutapata kutoka CHADEMA
Peopleeeeeeeez!