Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,174
- 17,635
Inakuja MkuuWeka picha Waufukweni
Ngoja nikachekee chooni😂😂😂Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA Freeman Mbowe apata picha ya kipekee ya pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan baada ya uzinduzi wa Dira 2050, jijini Dodoma.
Ya kuwaringishia CDMHaitusaidii lolote
Ndio kama ulivyoonaSawa, kwa hiyo?
Ubalozi😀 😀 anasubiri Uteuzi
Cuba huko akajaze nafasi iliyoachwa waziUbalozi
Mbowe ni jabali la siasa za upinzani nchini na mwanadiplomasia nguli. Nampongeza sana.