KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,174
Kwani haya mambo hujificha mkuu 'Erythro', tuuachie muda ndio utatuonyesha.Katika kesi ya ugaidi iliyomkabili Mbowe , bila Shaka uliona Mabalozi wengi wakihudhuria , uliwahi kumuona balozi wa Kenya ? ni nani aliyesema Chadema inaichukulia Kenya kama Role model , na unamwamini ?
Asipoata safari hii, bahati yake mbaya sana.Nimemfahamu Raila kwa Kugombea nafasi ya Urais.
Jamaa naona mission yake hapa duniani ni hiyo.
Hiyo hazina, hebu itajeni basi tusikie viroja nyie bavichawa mnaruka ruka tuKipi hukijui ?
Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko huyu sellout.
Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
Mbowe atafanya chochote anachoona kina MANUFAA kwake. Na huna kitu chochote Cha kumfanya ukabaki salama zaidi ya kuweka bando na kubweka bweka mitandaoni...Raila aliniudhi sana alivyokuwa akim-support yule MUUAJI.
..Natumai Raila ameomba msamaha na kutubu kwa jinsi alivyokengeuka.
Aibu yako huioni kahaba weweHivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko huyu sellout.
Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
Mbowe atafanya chochote anachoona kina MANUFAA kwake. Na huna kitu chochote Cha kumfanya ukabaki salama zaidi ya kuweka bando na kubweka bweka mitandaoni.
View attachment 2169879
CHADEMA ilikuwa zamani sasa kwisha habari yenu, mbowe anazuga zuga tu alienda Ikulu alipotoka jela kuonana mtesi wake kabla kwenda kwake unafiki umo ndani ya damu yake, aliamua kusarenda kwa miezi 8 tu aliyokaa jela, amewasaliti watanzania waliokuwa na matumain nayeCHADEMA in hazina ya viongozi wenye ushawishi ndani na nje ya nchi.
Hawezi kupoteza muda wakeUrafiki wa kinafiki wala hakuja kumzika
Na yeye amejiunga rasmi na mama samia, anusurike na jela miezi 8 ilitosha, hakuna tena mbowe apo sasa ni remote tuMbowe ajifunze Siasa za Raila
Raia aliwahi kujiunga na Daniel Arap Moi, akawahi kujiunga na Mwai Kibaki na pia kajiunga na Uhuru Kenyata
Lakin kubwa zaid sometime inaruhusiwa kuwatosa Wahafidhina kama kina Miguna miguna waliokataa kuelegeza misimamo
I thought Odinga ni kiongozi wa chama cha machungwa Orange Democratic Movement (ODM)🤔Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe leo amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi.
Kupitia kwao, Mheshimiwa Mbowe amewataka Wakenya wote kushikamana kuhakikisha kuwa uchaguzi wao unakuwa wa haki, huru na wazi.
Kipekee, amewasihi Viongozi na Wagombea hao kuhakikisha vurugu za uchaguzi zilizotokea nchini Kenya miaka ya nyuma na kusababisha vifo vya Wakenya kamwe havijirudii tena.
Aidha, amewataka kutambua nafasi ya Taifa la Kenya katika kuendeleza Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu katika Eneo la Jumuia ya Afrika Mashariki na kwamba wanapaswa wakati wote kulinda na kuendeleza mafanikio hayo.
Mheshimiwa Mbowe amewatakia Wakenya wote mchakato mwema wa Uchaguzi wao wa August 2022.
kwahiyo Raila siyo mtu? acha chuki utakufa bureEti kaenda kuwatakia Kenya uchaguzi mwema, who knows Mbowe esp. in Kenya, hakuna mtu anamjua hata.
Mna matatizo ya akili..Na nyinyi zama zenu kwa kuteka watu, kudhalilisha, na kuuwa, zimekwisha.
..kama ni ukatili watafanya kundi lingine, sio nyinyi tena.
Acha ukabila mpuuzi wewe, umeambiwa ameenda kuwakilisha wachaga?Hivi Wachaga wamekosa kweli mtu wa kumuamini na kuwaongoza ? Mbona Wachaga wengi sana wapo ni wasomi wazuri wangeweza kuwawakilisha Wachaga kuliko huyu sellout.
Ni aibu kubwa sana kwa Wachaga kuongozwa na mtu kama Mbowe, aibu!
Bilionea Mbowe anafahamika dunia nzimaEti kaenda kuwatakia Kenya uchaguzi mwema, who knows Mbowe esp. in Kenya, hakuna mtu anamjua hata.
Hao ndio marais wajao.Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Aikaeli Mbowe leo amekutana na Mheshimiwa Raila Amolo Odinga, Mgombea Urais wa Muungano wa Azimio la Umoja na Mheshimiwa Martha Karua, Kiongozi wa Chama cha NARC Kenya Jijini Nairobi.