Freedom of Speech...Floyd Shivambu.

Freedom of Speech...Floyd Shivambu.

Ukizungumza hivyo Bongo kesho yake haupo salama.
 
Wabunge wengi wa upinzani S.A wamefyatuka, napenda sana kufuatilia mijadala yao bungeni.
 
Malema mmoja wa EFF ni sawa na wa ANC 70.
Huyo ndio baba lao. Kuna chief whip Floyd shibambu, Ndlozi na Hlengiwe Hlope pia kuna wazungu wawili wa D.A mmoja wanamuita sijui stenienizen hatari sana hawa watu.
 
Yaah! Unawapata vyema, wanamita Zuma Criminal...
 
Hivi SA wanashangaa USA kumchagua Trump ? Maana nao na zile story za Zuma bado wakachagua tena. Naona Kama USA wako sahihi zaidi yao
 
Mkuu huwa mnasoma habari ili kuelewa context ya mjadala au mnachangia mlipata fursa?
 
Hivi SA wanashangaa USA kumchagua Trump ? Maana nao na zile story za Zuma bado wakachagua tena. Naona Kama USA wako sahihi zaidi yao
Siasa ni kitu cha ajabu hivi...
 
Back
Top Bottom