Free to air receiver

Free to air receiver

Hicho kisimbusi ndio hichi au sio chenyewe
Screenshot_20190829-011038.jpeg
 
Chief hivi ving’amuzi hapa bongo vinapatikana wapi na bei yake unaweza kufahamu?
Dvb T ipo sehemu nyingi Sana mkuu, inawezekana hata TV yako Sasa Hivi inayo, ama deki, ama receiver ya dish, ving'amuzi Kama startimes na continental vya antenna, na vifaa vyengine vingi.

Hii ndio imekuja kureplace analog. Hivyo angalia kwanza Kama vifaa vyako vina hii tech,
 
TV yangu ina king’amuzi ni smart samsung 42’ model yake nimeshahau, ninachotakiwa kufanya ni kutafuta antenna?thanks in advance mkuu
 
TV yangu ina king’amuzi ni smart samsung 42’ model yake nimeshahau, ninachotakiwa kufanya ni kutafuta antenna?thanks in advance mkuu
Ndio mkuu tafuta antenna tu. Hata tube za taa zilizoungua au hata waya za alluminium ama kibakuli kinafaa.
 
Na hicho nilivyo fungua maelezo kina tumia wi-fi
Kwa maelezo mkuu hawaja specify wifi ya Nini Wala ya kazi gani, tunayoizungumzia Hapa Ni ya kukuwezesha kuangalia iptv ama YouTube. I doubt Kama kifaa Cha dola 7 kinaweza kuwa na uwezo huu mkuu.
 
Back
Top Bottom