Free tips daily 1.50 odds and 2 odds

Kwako n raisi watu odds 1.06 wanapoteza kaka ivyo ujuaji mwingine sio mzuri
 
Endeleen kuzarau pesa ndogo kama kubwa mnazo,unaweka 500 timu 30 ushinde milion 30 uwanjan unacheza wewe wakuu😂😂😂, betting ni mathematics tu basi 😂 😂 🔥 🔥 💯 ✅ ✅
 
Endeleen kuzarau pesa ndogo kama kubwa mnazo,unaweka 500 timu 30 ushinde milion 30 uwanjan unacheza wewe wakuu😂😂😂, betting ni mathematics tu basi 😂 😂 🔥 🔥 💯 ✅ ✅
Hawana akili au akili mgando

Ndo kuna mmja anasema et kuna watu wanaweka odd 100 mpaka 1000



Ukienda kwenye nyuzi zao ukasema kama kuna mtu kashinda kwa codea za humu alete screenshot hakuna.



Utaskia wanajamba jamba ety ooh team moja tu.. mara huyu kachana kipindi cha pili.



Wakati mda huo wenzao wanatafuta odds 1.8 au 3.5 ila ni za uhakika ukuti zinachana kijinga.



Mkuu shusha mzigo humu ndani kuna watu nasemaga wana mavi kichwani
 
Oyaaa uzi wa wakamaria ujue kwann nilisitisha kutoa code??

1) ilizuka tabia ya watu kuja inbox kuanza kutoa milio ya hela.,mwanzo nilikuwa nawapa ila baadae machale yalinicheza kuna m1,aliomb mazingira halafu, baada ya siku 3 akaja kwa id nyingine kuomba tena mzingira sasa alijichanganya kwwnye jina la wakala likawa lile lile kama la siku 3 nyuma.
Nikaona huu undezi nika mute mazima.

2)kuna waliokuwa wanakuja inbox wanasema niwape namba zangu et tufungue channel mara tuunde grou9 la mikeka napo nikaon jau

Ila amini kuna watu wana concistncy ya odds 10+ dairly na wame kausha tuli,maana ukianza kutoa material inbox inafurika vizinga
 
Sasa hizo odds tunaweka kweye mkeka m1 na hizo mwchi za juzi na majana yake ila ona
 

Attachments

  • Screenshot_20260904_215044_Helabet.jpg
    142.3 KB · Views: 6
  • Screenshot_20260904_215059_Helabet.jpg
    154.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20260904_215129_Helabet.jpg
    142 KB · Views: 2
  • Screenshot_20260904_215217_Helabet.jpg
    149.7 KB · Views: 2
Hizo zidisha hizo odds unapata 10+ na hiyo ni dairly
 

Attachments

  • Screenshot_20260904_215442_SportyBet.jpg
    146 KB · Views: 5
  • Screenshot_20260904_215459_SportyBet.jpg
    146.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20260904_215534_SportyBet.jpg
    143.1 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…