José mwenyewe mtoto tuu huoni alivyokuwa ananisumbua?Hivi utakimbizana na hawa watoto hata lini? Ulimkimbia mzee mwenzio Joseverest ona sasa ulivyoumbuka!!!
Nnaikumbuka hii.Umenifanya nimekumbuka kuna story ililetwa humu na mtu ambae kaka yake aliwasomesha wao alafu alipokufa wakasahau familia yake. Watoto na mama yao wakapigwa na maisha hatari. Na ni kwasababu hakumuandaa mkewe kwa maisha ya kesho.
Ngoja NIKUSANYE HELA KWANZA...NIKIFUZU NITAKWAMBIA...ILA WEWE KICHWA CHAKO KIZURI SEMA NDIYO MAANA NIMESHAWAHI KUKUULIZA KAMA UMESOMA FALSAFA ULINIAMBIA ULISOMA UNAPOSOMEA UALIMU. BILA UNAFIKI NASEMA HADHARANI KICHWA CHAKO KIZURI SIJAJUA KAMA MME WAKO UTAKAMPATA MWINGINE ATAKUWA NA KICHWA KAMA CHAKO. MSHUKURU MUNGU KWA KUKUPENDELEA KUWA NA UBUNGO ULIONAO.Hahahaaaa!! Baba hapendeki, vipi kozi ya urubani ushaanza?
Ile ya diamond karanga.Nnaikumbuka hii.
Wewe si upo na yule mchina au mmeachana?Bebe umenitupa tena...singo lady tangu lini
Best njoo kwa kaka yangu, hutajuta kumpata.José mwenyewe mtoto tuu huoni alivyokuwa ananisumbua?
Nadhani sasahivi nitafute mzee mwenzangu hawa watoto watanipa jaka la moyo.
Au nielekeze akili yangu kwenye kujikwamua kimaisha kwa kuendeleza biashara zangu kuliko kupambana na hawa watoto kama ulivyotushauri kwenye bandiko lako au wewe unasemaje?
Kufa haufi ila cha moto utakiona hutulii na wewehuyu mwanamke ataniua
Naomba "NIKUTUKANE" kidogo kwa mapwenti uliyoyaandika...
Ahahahaaaaaa watu mnamaneno sijui mnayatoa wapi khaah nimecheka sana aiseehNaomba nikuitikie kesho asubuhi shem babe,..nanoa jembe la kuamkia nalo shambani kesho alfajiri,.
mumu maneno ya kichungaji nimekupenda bure, unafaa kuwa mke wangu wa pili, naomba kuwasilisha ombi la kukuowaaaHave ma" like babe-girlunajua nini umesema maneno maziiito mno mwenye kusikia na asikie,.japo KUPANGA NI KUCHAGUA hatuingiliani lifestyles lakini penye ukweli lazima tukumbushane...
Wadada tupunguze luxuries tofauti na vipato vyetu,.tuwe na kiasi na kuridhika..tukipata wenzetu hebu tupeane support sio kisa ni mbebe wako basi ndio akome kila dhiki unambebesha kaka wa watu looh tena ujue kwao wana japo mbuzi wa maziwa basi hali akashiba.,.ndio maana wengine miti mikavu hawanenepagi kwa kufyonzwa....tujue kufanya kazi zetu na kusave pia kwa ajili ya baadae,.kumtegemea mtu sana kwanza dhambi...
Yeremia 17:5-8 ukisoma utaona mtu anaye mtegemea mwanadamu anakuwaje...
Mungu akatubariki sawasawa na utajiri wake,kusukwa-sukwa hata kumwagika...!!!!
Kama zamu yake ya kupika halafu hajapika ale huko huko. Na 50/50 mpaka outing na washkaji. Leo ukienda kuangalia mpira na mimi nikiomba kwenda kwenye outing na mashoga zangu unapiga kimya
Yeah, una kumbukumbu nzuri PyaarIle ya diamond karanga.
Teh teh teh tehPole sana best!
Naomba nikuunganishie kwa kaka yangu, au wajanja wa humu washakuwahi?
AhahahaaaaaaKaka ako yupi? wee naaee ina maana hujui nimekamatia fursa tangu zamani
Kwanini unamwambia maneno makali baby wangu?Baby shem hujasika maneno ya Diamond yanayosema 'ukiachika acha'?
mumu maneno ya kichungaji nimekupenda bure, unafaa kuwa mke wangu wa pili, naomba kuwasilisha ombi la kukuowaaa
Anakutania tuu bebeAliyesema nimeachika nani, yaani kukaa kwangu kimya ndio mkaona jose kashapigwa cha mbavu na Ney? mbona watanzania mna nongwa hivi?