Usiondoke, nachofanya hapa ni kuhakiki ili napokwanbia pakua app fulan iwe good perfomance na ndo maana nimeomba namba hizo ili waje walete mjeresho baada ya test
Asante mkuu ingekuwa vizuri utaje na nchi ulipo maana hizi namba za nje ndo nazihitaji zaidi
tunasubir mrejesho
Mleta thread unazungumzia app ya VOXOX hapa? Au?
Wanatoa namba ya bure. Ikiwa ni ya marekani.... Na ndugu zetu wengi wenye ulimbukeni wa kutumia namba za nnje ktk whatsapp wanaijua hiyo app.
Kumradhi kama nimekosea.
Kaka wewe umedandia treni kwa mbele.
Hold up....!...Wewe unaijua voxox? Kama huijui piga kimya.... Easy bruh... Watch your goddamn steps.