Free sms worlwide over internet!

Free sms worlwide over internet!

Hiyo voxox unatuma msg mbili sijui tatu then u just have to pay for the rest au una call kwa zile credit unazopewa bure USD 0.99 hata dakika haishi zishakwisha then you just have to pay. Namba yake kuitumia whatsapp hilo sawa unatumia tu kama kawaida lakini kutuma sms au calling world wide bure kama mdau anavyosema haiwezi kuwa voxox

Walau wewe unaelewa unachoongea. Lakini Hans Pol alikuwa anashupalia asichokijua.......
 
Last edited by a moderator:
Hold up....!...Wewe unaijua voxox? Kama huijui piga kimya.... Easy bruh... Watch your goddamn steps.

Voxox naijua, ila mtoa uzi alikataa kuwa sio voxox sasa na wewe usilazimishe kitu usicho kijua.
Na siku nyingine angalia kauli zako, wewe sio mtoa mada lkn unalazimisha watu kuamini anazungumzia voxox.
 
Acha kutoka povu.... Mchana wote huuu..........
 
Kauli zako tu zinadhihirisha wazi huku umekosea njia. Hili jukwaa si saizi yako.
Labda kama unatatizo sema usaidiwe.

Sawa bwana Hans Pol. Nakutakia mchana mwema....

Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom