P langu utalimudu bibie?Mie nakuzimikia wewe
Irene Paulo ndo nani huyo....
Labda walikutana na Irene kwenye disco vumbi akamwambia yeye ni msanii....hata mimi kwangu jina geni kabisa labda ni wa nje ya tz
Mie nakuzimikia wewe
Labda walikutana na Irene kwenye disco vumbi akamwambia yeye ni msanii....
kwa hiyo waridhia kumgea free-p?
P langu utalimudu bibie?
Sina p, labda ningemfikiria kumgea. Lakini kumzimikia mtu sio kigezo cha kumpa free p, au wasemaje?