Free online reading

Kilongwe

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
423
115
Wakubwa,kwa wale wanaotafuta material kadha wa kadha,munaweza tembeleaAfroIT E Learning Page kwa ajili ya vitabu mbalimbali ambapo una uwezo wa kusoma online.Tunajitahidi kuhakikisha tunaweka vitabu vingii zaidi vya ICT ili watu wanufaike zaidi. Kwa wale wanaojiandaa kwa mitihani ya ujuzi munaweza tembelea Hapa ,pia kama una Internet ya kutosha basi unaweza kujifunza kwa kuangalia video mbalimbali zinazopatikana kwenye Video Page . AfroIT imesheheni kila kitu kwa wale wanaotaka kujifunza.
 
Iko njema,nimeipenda ingawa mie si mtu wa computer,naamini ndiko mlikuamua kuanzia hivyo baada ya muda wasomaji wa aina zote tutapata vitabu tunavyohitaji.Good work.
 
Masomo mazuri na ndio Maendeleo ya sasa kusoma Computer. huko tunakokwenda itafika kila kitu itabidi utumie Computer. Na si muda mrefu ingawa hapo kwetu Tanzania bado tupo nyuma kimaendeleo.
 
Kazi nzuri, endeleeni na moyo huo huo, mola atakulipeni mbadala inshallah.
Ipi ni nzuri zaidi kati ya WINRAR na WINZIP?? Si vibaya kama utatupa shule kuhusu WINZIP. Je kama nikipoteza ubora wa muziki baada ya kukompress, naweza kurudisha ubora wa muziki huo hapo baadae??
 
Iko njema,nimeipenda ingawa mie si mtu wa computer,naamini ndiko mlikuamua kuanzia hivyo baada ya muda wasomaji wa aina zote tutapata vitabu tunavyohitaji.Good work.

Tunajitahidi kufanikisha hili.Hususan kwa sasa tupo kwenye majaribio ya website ya Afya www.tanzmed.com baada ya awamu hii utaweza kupata vitabu vya afya bila utata.

Mengi yapo njiani yaja..
 
Back
Top Bottom