min -me yako kule Rombo Mashati. Mtandao unasumbua sana kule.Nadhan Huu Uzi umemuenzi vizur Min Me.
Maana nae ni mchangiaji na mbishani mzuri.
Hapa pamekosekana Pombe tu.
Jion wanyaji tutamuenzi.
Maana bikin tayar @ephen anazo.
NB: Kumuenzi ni Kumkumbuka mtu na sio Lazima awe amefariki.
Kweli kakosa cha ku-post , eti hajamzoea sasa muda wote mtu awe online tu ? Hana mambo mengine ya kufanya?Umekosa cha kupost?
Dah😀 yuko mapumziko na kimwana mmoja hatari Sana black beautyView attachment 3660981
Mpelekee moto hakuna kupoa!Ndio hata mimi nakashangaa, kajamaa kameamua ghafla tu kujitongozesha kwangu!
Wanajua kukaa kwa mitego hawa viumbe aisee..😀 yuko mapumziko na kimwana mmoja hatari Sana black beautyView attachment 3660981
Waache wanachangamsha kijiweWabongo bhana mnaweza kukorofishana kwa ishu ndogo kabisa kwenu hakuna joke's wala nini ni kama wale wazee akifika home TV inazimwa Baba kaja..
Utetezi mrefu kiasi hiki ina maanisha kua dawa imeingia kunako,na matibabu yanaenda vizuri,With no due respect, hujui chochote wewe sadist.. Mjinga.
Nimesha kwambia huo onoko wako na ego iliyo insecure, Wacha kuseek approval na kutumia tactics za kipuuzi uhisi kila mtu atakuwa trapped.
Wewe ni mjinga tu, na ujinga wako uko venye unapo loose touch na muhusika na kuanza kumzushia drama na uongo ili ilupate approval.
You're just another loser, mpuuzi wewe. Huna akili, huna utimamu, huna boldness ya kujua una stand wapi katika conversation.
You'll keep on tearing other people ambao nahisi watakuwa wanao na kizazi chako
Oya mazee take easy sio kila mtu atafurahi unachoandika mnatukanana kisa nyuzi aisee..Itaongea sana mshamba wewe
You've nothing tell me mjinga.
Kama nyuzi zangu zinakuumiza ass yako, ni wewe na intolerance yako.
I'll keep on posting na hakuna kitu utafanya. Hakuna neno utakalo ongea au kunipakazia ambalo litanifanya ni back down, or else unazidi kunipa drive. You're just another pig
Popopopoooommmm pisha pisha gari kubwa😀 yuko mapumziko na kimwana mmoja hatari Sana black beautyView attachment 3660981
Maisha ya ugomvi asubuhi tu ni stress au nini aisee..Waache wanachangamsha kijiwe
Broo😅Popopopoooommmm pisha pisha gari kubwa
Dozi ipi?Utetezi mrefu kiasi hiki ina maanisha kua dawa imeingia kunako,na matibabu yanaenda vizuri,
So far hakuna haja ya kukubadilishia dozi.
Broo niache usinishike!!!!!Broo😅
Magari makubwa yanakunywa mafuta mengi😂Broo niache usinishike!!!!!
Ukiyatumia utajua raha yake yanakimbia saaaana weeeee hujui waulize wakongwe. Cc6000 siyo ishu si unajua tuna tank ndani km Moooooomboooooooooo.Magari makubwa yanakunywa mafuta mengi😂