kwani zipo chache,haya nshaku pm
Hapo kwenye daima ndio nina mashaka napo sababu kwa vyovyote vile nina uhakika wanaweza wakaziba loophole hususan wabongo robo tatu wote tutakapoamia kwenye hii issue..Niliwahi kuongelea swala la free internet.
Kuna watu walinitumia PM kwamba zikiwa tayari niwastue
lakini nimefanya hivo naona wanazingua tu.
Kuna chip,ambayo ukiweka kwenye modem ya mtandao huo
utatumia free internet daima.
Ina cost 40,000/=
PM me kabla ya kesho.
Hapo kwenye daima ndio nina mashaka napo sababu kwa vyovyote vile nina uhakika wanaweza wakaziba loophole hususan wabongo robo tatu wote tutakapoamia kwenye hii issue..
anyway hata kama sio daima ni miezi mitatu kama mtu alikuwa anatumia 10,000/= kwa wiki sio mbaya hapo kuna savings
Just from technology and hackers point of view big up and keep us posted.., in the future ikikubali alafu ikaja kukataa taomba tuambiane mlifanyaje na kwa kutumia njia gani
Knowledge is power !!
You're right.
Daima sio miaka yote kivile,wanaweza fungasha ikaondoka tanzania so
utakua huna access nao.
Au hadi waje kuifungia chip hiyo ingawa sio rahisi.
Infact,natumia toka mwezi wa 6 mpaka leo.
Sikumbuki idadi ya Gigabytes nilizo shusha,but its free.
So far imebaki moja hadi mda huu.
Anae zitengeneza anafanya kazi huko huko ndani ya mtandao sio mimi.
mimi muuzaji tu
We ni tapelli.
Jamaa alie weka zantel bure na tunaitumia bila kulipa hata sentitano.
wewe unataka tulipe,huoni kama unelekea kama vile mnageria au mkongo.
Sasa hivi tuna peta bure na jamaa wetu wa Jf alietupa mawasiliono bure,
Acha kumtisha mchakachuaji wetu, seikali yako ni yawezi sasa kijana anajitafutia ugali we roho inakudunda kwa kasi kiasi hicho?IP yako iko tayari sasa tuna monitor uko wapi kabla ya kumaliza kazi nzima, feki feki mko wengi lakini tunataraji uta chain wahusika wengine wote, wa16 on duty.
hili lijamaa lazima litakuwa tapelia wale wa tiGO,jiungeni na kifurushi cha siku,kinadunda hata wiki,mimi changu kina wiki ya tatu,bwerereee kwa jero tu!wewe unataka buku40,utaichora hapo chini.
hili lijamaa lazima litakuwa tapelia wale wa tiGO,jiungeni na kifurushi cha siku,kinadunda hata wiki,mimi changu kina wiki ya tatu,bwerereee kwa jero tu!wewe unataka buku40,utaichora hapo chini.