Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,227
- 113,584
Lol. Na hayo masokomoko yanatokea mara ngapi kwenye ndoa?
Yanatokea mara nyingi tu.
Hivi inatokea out of nowhere mnaanza sokomoko kwa ajili ya wasiwasi wa paternity?
Matatizo ya paternity hayawapati wanandoa tu. Hata kama watu wamezaa bila ya kufunga ndoa na mmoja wao akafungua shauri mahakamani la kutaka kuanza kupata child support (yamkini kwa Tanzania bado tuko nyuma sana kwenye hili), mahakama huamuru paternity testing ifanyike ili kuwe na haki. Mambo ya kulipa child support kwa mwana asiye wako kwa kulazimishwa na mahakama si haki hata chembe. Hivyo, hiyo ni moja ya scenario za paternity testing na jinsi ambavyo inaweza kuleta sokomoko. Sasa unaweza kuanza ku split hairs kama huo ni mwanzo au mwisho, in my view that is academic.
Lazma sokomoko lianzie mahali, hilo la patternity ni hitimisho la sokomoko in my view.
Be that as it may or may not, sokomoko ni sokomoko tu na paternity testing huumbua watu na kama unadhani huo ndiyo mwisho wa sokomoko then I submit to you that you ain't seen nothing yet!