Free DNA test to curb paternity wrangling

Are u sure u r the true son of ur father?
Kidding of course.

So here is the reason of hope:-
Kama vile si wanaume wote ni mabazazi hivyo hivyo si wanawake wote ni malaghai. Wewe ukiacha ubazazi utamsababishia at least mwanamke mmoja asiwe laghai. So nikiamua kuacha, God knows kati ya married men say 12 walionotongoza Mwaka huu at one or two walikuwa wananitaka mimi as Kaunga na sio sex tu, hivyo nitakuwa nimewakwepesha na uzinifu.
Same thing to you, usipowatongoza utawaokoa!

hahah...12 wacha bwana inaelekea unatamanisha lol. wacha bwana mie niendelee kutiwaamini wanawake...am safer that way.
 
hahah...12 wacha bwana inaelekea unatamanisha lol. wacha bwana mie niendelee kutiwaamini wanawake...am safer that way.

Nimesema mfano, maana yake si halisi!
haya usiwaamini lkn usiwachezee hasa emotionally.
 
Naona Anguko la Familia nyingi linakuja.
Kaunga, ni kweli, women don't cheat, na hawafanyi ngono kwa ridhaa yao bali kwa shinikizo la wanamme. Hivi wanaenjoy kweli?
 
Last edited by a moderator:
Suala la kutojua ukweli wa "Baba halisi" wa mtoto, linamanufaa pia kwa Baba!

Hii itakula kwa wenye vihelehele na waliokuwa wanatafutiza sababu za migogoro na wenza wao...
 
wifi una akili jamani! nakupenda bure kabisa. Hapo hata nyumba ndogo pia huwi na wasiwasi nayo unagojea tu ukimwi wako uanze arv.
Ha ha ha, nikwambie kitu?
Kama umeshazaa watoto wako say 2, fanya vasestomy kisiri siri huhitaji DNA test wala nini!
 
Naona Anguko la Familia nyingi linakuja.
Kaunga, ni kweli, women don't cheat, na hawafanyi ngono kwa ridhaa yao bali kwa shinikizo la wanamme. Hivi wanaenjoy kweli?

Mbona huwa unasema HUTAKI, si maana yake unalazimika kufanya! LOL
 
Last edited by a moderator:
Nimesema mfano, maana yake si halisi!
haya usiwaamini lkn usiwachezee hasa emotionally.

hahhha ah mie napenda kiwa mkweli tuu....mie nakifancy na nataka kukugegeda..ila nimeona kuwa hamtoi papichi mkiambiwa ukweli so i am left wit no choice bt to play wit ur emotions
 
hahhha ah mie napenda kiwa mkweli tuu....mie nakifancy na nataka kukugegeda..ila nimeona kuwa hamtoi papichi mkiambiwa ukweli so i am left wit no choice bt to play wit ur emotions

And we are left with no choices pia than to play with ur best friends' penises!

That is no
 
Lol. Na hayo masokomoko yanatokea mara ngapi kwenye ndoa? Hivi inatokea out of nowhere mnaanza sokomoko kwa ajili ya wasiwasi wa paternity? Lazma sokomoko lianzie mahali, hilo la patternity ni hitimisho la sokomoko in my view.

kwa hiyo ni kwamba hukubali baba kuwa na shaka kama anayedaiwa kuwa mwanae ni mwanae kweli kunaweza kukazua sokomoko?
 
KUNA MDADA ALISHAWAHI NIAMBIA UKIONA YOUR MAN IS PLAYING INNOCENT, ANARUDI 5 PM KILA SIKU NA HANA HATA MSG ZA MASHAKA, THEN YOU SHOULD BE MORE WORRIED MANAKE SIKU UNAJUA WHAT HE IS UP TO UTAZIMIA. NDO HII YA U-CELIBACY. MI :shut-mouth:NIMENYAMAZA TU ILA I AM FREAKING WORRIED ABOUT YOU. SERIOUSLY SISTER FIDESTA KONGOSHO
Ni kweli sitaki :)

Afu si umeona niko kwenye mkakati wa ku-practice celibacy
 
Eti juzi Mzee Mmoja aliamua kubeba familia yake yote ya mkewe na watoto watano, wakaenda kupima hiyo DNA.

Mbona alirudi peke yake!!, hadi leo anaish peke yake from a family of 7members.

DNA noma aisee!
 
Lol. Na hayo masokomoko yanatokea mara ngapi kwenye ndoa? Hivi inatokea out of nowhere mnaanza sokomoko kwa ajili ya wasiwasi wa paternity? Lazma sokomoko lianzie mahali, hilo la patternity ni hitimisho la sokomoko in my view.

It's just an end,

Hadi mtu anafikia hatua hiyo ujue keshaamua liwalo na liwe!
 
Eti juzi Mzee Mmoja aliamua kubeba familia yake yote ya mkewe na watoto watano, wakaenda kupima hiyo DNA.

Mbona alirudi peke yake!!, hadi leo anaish peke yake from a family of 7members.

DNA noma aisee!

Huyo siyo mzee.

Hakuna mzee anaweza kufanya upuuzi kama huo, labda kalisha narcotics!
 
wifi, mie wala siipingi. japo the fact kuwa kakake AshaDii ana wasiwasi kuwa nafanya ngono, tena nzembe nje ya ndoa ndio fact ya kudeal nayo hapo. na kama nilifikiria na kaumua kujilipua then mie ndo nitashauri dna kabla yake, ila ajue ndo ndoa haipo tena hapo, itabaki convinient arrangement

Wifi King'asti, siku hizi wana engender kila kitu; na ninafikiri gender faidika hapo ni ya kiume ila wanashindwa kuisema aloud.

BTW mbona kina dada tunaipinga? Sort of!
 
Last edited by a moderator:
si ndo hapo babu. na hamuwezi kuwa na sokomoko bila kupigana? manake gender based violence sio ishara ya kutofautiana. kuna watu wanaishi na mgogoro miaka miwili, hakuna kupigana, kutukanana wala nini. ila hakuna tendo la ndoa na kila mtu anajijua anaponaje. watoto wanaweza hata wasigundue kuna tatizo. mara ngapi umeshatofautiana na bibi, hata kama na unyumba mkanyimana, bila kuvutana mashati? why kwenye ndoa hata umsukume mwenzio makusudi?
ni kukosa ustaarabu tu!
It's just an end,

Hadi mtu anafikia hatua hiyo ujue keshaamua liwalo na liwe!
 
KUNA MDADA ALISHAWAHI NIAMBIA UKIONA YOUR MAN IS PLAYING INNOCENT, ANARUDI 5 PM KILA SIKU NA HANA HATA MSG ZA MASHAKA, THEN YOU SHOULD BE MORE WORRIED MANAKE SIKU UNAJUA WHAT HE IS UP TO UTAZIMIA. NDO HII YA U-CELIBACY. MI :shut-mouth:NIMENYAMAZA TU ILA I AM FREAKING WORRIED ABOUT YOU. SERIOUSLY SISTER FIDESTA KONGOSHO
He he he, I want to be a nun:glasses-nerdy:, nothing more

Umeona babu ndiye wa kumuomea?

Shukuru Mungu alishang'atuka kitambo!

Ha ha ha ha, tusipomwonea babu tutamwonea nani?
Wengine tukiwabip hivi watapiga bure tukose pa kujificha
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom