luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,295
- 8,261
R.i.p tumepoteza milioneaMarangu ya Mwika
R.i.p tumepoteza milioneaMarangu ya Mwika
Hivi hii kauli ya kila nafsi itaonja mauti huwa ina maanisha nini na huwa mnaitoa wapi?Poleni bandugu. Kila nafc itaonja umauti.
Naona matajiri na watu maarufu wanachomoka tu, masikini na wakawaida 2siowajua hali ikoje mazee huko, c itakuwa wengi mnoo.
Utajiri wa kipepo...unafuatana na uharibifuUtajiri wa kiafrika mara nyingi unaambatana sana na pressure, kisukari, shambulio la moyo nk.
Sijui tunakosea wapi.
Rest well mr. business man.
Hivi hii kauli ya kila nafsi itaonja mauti huwa ina maanisha nini na huwa mnaitoa wapi?
Mtu anatafuna kitimoto rosti kilo 2 😃😃😃😃Wabongo wengi wakipata pesa wanakula hovyo sana.
Kama una maana ya mmiliki wa Sunset yule Kimei sasa hivi ni Marehemu. Sunset yenyewe haipo tena ilishamezwa kwani ilikuwa ndani ya eneo la Reli.Sunset ya wapi?
Daah enzi hizo dodoma 2015 iliwika sana. Dodoma ilikuwa haijafikiriwa hata na mwendazake.Kama una maana ya mmiliki wa Sunset yule Kimei sasa hivi ni Marehemu. Sunset yenyewe haipo tena ilishamezwa kwani ilikuwa ndani ya eneo la Reli.
Unaambiwa hela yako mwenyewe ndio inakuua. Sweken hata mambo ya UVIKO barakoa hawajali wanadunda tu.Utajiri wa kiafrika mara nyingi unaambatana sana na pressure, kisukari, shambulio la moyo nk.
Sijui tunakosea wapi.
Rest well mr. business man.
Wafrika tukipata pesa tunaacha mazoezi..
Safari fupi ya kutembea unatumia gari.
Kula sana, vinywaji zaidi, mademu unawapanga foleni nk.
Related newsTajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es salaam.
Bwana Fredy alifikishwa hospitalini hapo wiki tatu zilizopita akiwa anasumbuliwa na pressure iliyopelekea kupata stroke.
Mipango ya mazishi inafanyika Dodoma, Dar na Moshi